BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Sawa..fuatilia madawa kama ulivyoshauriwa..pole usinielewe vibaya ilikuwa ni katika kutafuta ufumbuzi wa suala lako.Aaa!!!wakati nipo mza nilikuwa peke yang nilikuwa na kutana nae mara moja kwa mwezi,baada ya kuja tbr,nikikaa kama miez 4 hv ndo akaja sasa tuakaishi pamoja tuna miaka miwil sasa tangu tuwe nae,na cjawhi kuchepuka kama itakuwa sababu