Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Unaeza kupewa bile prescription ya doctor?
 
Kwa wadada wenye umri wa kushika mimba, au kwa wamama wajawazito, epukeni kutumia Acnotin (Isotretinoin) , (Potent Vitamin A analogue), hii inaweza sababisha birth defects (kasoro/uharibifu wa vichanga wa kuzaliwa nao).

Wajawazito, wanaonyonyesh, na kwa watoto wote mpaka umri wa miaka 12, epukeni Doxycycline, kwani hii ni inachakachua ukuaji wa mifupa ya vichanga/ watoto na pia huyafanya meno ya watoto kuwa manjano.
 
Jamani wa ungwana mdogo wangu anasumbuliwa sana na chunusi na mabaka yake....usoni.....kifuani na mgongoni.......naomba ushauri atumie dawa gani kuepusha ayo.....

Bila kuharibu ngozi wala rangi yake.
Umri 18.....jinsia Ke.

Asanteni.
 
Akionjeshwa tu anaanza kuwa soft.

Acha usihangaike,zitaisha zenyewe
 
Okay... Thank you
 
baking poda kidogo (kijiko cha chai) changanya na mafuta ya nazi kijiko kikubwa, sugua usoni dk 10.
Baada ya dk 10 osha uso wako
Fanya hivi mala 3-4 kwa wiki.
 
baking poda kidogo (kijiko cha chai) changanya na mafuta ya nazi kijiko kikubwa, sugua usoni dk 10.
Baada ya dk 10 osha uso wako
Fanya hivi mala 3-4 kwa wiki.

Asabuhi ama jioni mkuu
Na ni Mara ngapi nafanya hivyo
 
Kuna mtu kakushaur atumie persol ok saw ni nzur ila zipo according to levels na concentration kuna ya 3.5 5 na ile kubwa zaid yaan ile ya free acne so amewah tumia dawa yoyote ya kutoa hizo chunusi mwanzo

Second vipi amewah kutoa mimba na je mzunguko wake wa hedhi ukoje? Hapa panaweza leta majibu mazur zaid ya tatizo.
Jamani wa ungwana mdogo wangu anasumbuliwa sana na chunusi na mabaka yake....usoni.....kifuani na mgongoni.......naomba ushauri atumie dawa gani kuepusha ayo.....

Bila kuharibu ngozi wala rangi yake.
Umri 18.....jinsia Ke.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…