Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

iyo persol gs imekaaje mkuu .. hata wanaume twaweza pakaa iyooo
 
Je kama nampango wa kubeba mimba miaka mi3 ijayo bado kuna effect?
 
kuna
1. Persol ya 2.5gm gell na
2. Persol ya 5gm gell huwa nzuri kwa chunusi lakini kwa kuwa zimekusumbua kwa muda
mrefu najua utakuwa umesha zitumia

Eti mkuu kuna persol 3.5gm? Nilishauriwa nitumie passo ila sina uhakika ni 3.5 au 2.5gm?
 

habari,
jipatie sabuni original za shaza kutoka burundi sabuni ambazo hutumiwa na jinsia zote kwa wanawake na wanaume mpaka watoto,pia ni sabuni pekee zitazoweza kukusaidia kuondokana na matatizo ya chunusi,mapele na hata magonjwa ya ngozi ya muda mrefu,husaidia kuiacha ngozi katika hali ya ukavu unaopendeza na kuondoa mafuta mengi usoni.
nauza sabuni moja kwa elfu 2 tu na pia kwa wale wa jumla nauza kwa box moja shilingi elfu 60. tunapatikana dar es salaam ilala pia tunafanya delivery ndani na nje ya dar es salaam karibuni sana
0659756647
 
Yaaah hata boys wanatumia ila kwa wanaume mara chache sana nmepokea kesi hizi huwa ni kina Dada ndo wanasumbuliwa sana

Hyo persol huwa znaanzia chini kwa wale ambao hajawah tumia kabisa dawa yoyote kutibu chunusi/acne ndo unaanzia na 2.5 ikigoma unaenda za juu hivo hivo na unaweza pewa na antibiotics kama erythromycin kuuwa those bacteria ambazo wanakuwa inside kwenye chunusi
iyo persol gs imekaaje mkuu .. hata wanaume twaweza pakaa iyooo
 
okay !! umeizungumzia vizuri ..labda na ww unaziuza izi dawaa nikucheki
 
au kupigwa mashine pia? Daaah ushauri wako wa pili ni wa kichakaramu sana
 
Jamani wa ungwana mdogo wangu anasumbuliwa sana na chunusi na mabaka yake....usoni.....kifuani na mgongoni.......naomba ushauri atumie dawa gani kuepusha ayo.....

Bila kuharibu ngozi wala rangi yake.
Umri 18.....jinsia Ke.

Asanteni.
Poleni sana, kwa changamoto hiyo, hilo linatibika kabisa na kufanya lisijirudie tena bila kuleta madhar yoyote, katika ngozi na hata katika kinga za ulinzi wa mwili wake.
Tuwasiliane kwa ushauri na Matibabu.
0784969283
 
Ayo makitu nadhani Ni genetic makeup,Kuna watu wanakuwaga Kama fenesi ila subiri watalamu wa ngozi wakushauri mkuu
 
Dawa zipo nyingi ila inategemea na ngozi yako. Kuna ngozi ina mafuta sana na kuna kavu ama mafuta kiasi.

Na kuna ngozi zinakubali dawa haraka na kuna ngozi zinareact taratibu. Kuna dawa za asili na za wazungu

Dawa za asili
1. Changanya manjano, liwa, limao na asali ama ndizi mbivu. Unapaka asubuhi kabla hujatoka unakaa nayo dakika 20, unanawa uso wako na sabuni ya kawaida tu, maji ya uvuguvugu. Usiku pia kabla hujalala

2. Sugua uso wako na nyanya then kaa dakika 15/20 kisha nawa uso.

3. Ute wa alovera paka usoni acha dakika 20. Pendelea kuosha uso wako na maji ya uvuguvugu.

Zipo nyingi sana

Dawa za dukani aka mzungu
1. Botouer anti acne
2. Faiza
3. Neutroderm

Use one among them you’ll thank me later!!! Chunusi zilikuwa hazinikauki usoni ila sasa hivi nimekua msofti hatari ngozi laini kama sijawahi pata chunusi.
 
Changanya unga wa dengu na majivu na limao weka na maji kidogo pakaa asubuhi subiri kwa nusu saa. Endelea na mambo mengine, na jioni kabla ya kulala fanya hivyo hivyo. Wiki moja haitakwisha utakuwa kama mtoto mchanga.
 
Ina Inaitwaje hio pharmacy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…