Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Aende kwa wataalamu wa magonjwa ya ngoz....neo medrol pia inasaidia ni lotion flan kadogo

Neomedrol ni dawa nzuri pia kuna T3, na ant acne ikichanganywa na ENAT inafanya kazi vzuri zaidi.....tatizo ili upate matokeo mazuri itumike mda mrefu na ni expensive sana
 
Neomedrol ni dawa nzuri pia kuna T3, na ant acne ikichanganywa na ENAT inafanya kazi vzuri zaidi.....tatizo ili upate matokeo mazuri itumike mda mrefu na ni expensive sana
Thanx raymg
 
Last edited by a moderator:
Retin A ilinisaidia plus ninajitengenezea shower gel ambayo imenisaidia Sana Sana.
 
hizo dawa zinahusu na wale wenye mapele ya ndevu
 
Mpenzi wangu (mwanamke)amepatwa na chunusi nyingi sana kwenye paji la uso, ametumia kila aina ya cream lakini haziondoki,na zimeanza kuwa nyeusi. Ni zaidi ya wiki mbili sasa. Tunaomba ushauri kuhusu daktari au mtaalam mzuri Dar-es-salaam ili akafanyiwe vipimo. Tunajaribu epuka foleni na vurugu za muhimbili.

Ikiwezekana tunaomba na namba yake ya simu.

Shukran.
 
Kama una hela agiza dawa onaitwa proactive ipo vzr
 
Wakumbwa naomba kuuliza ni dawa ua mafuta gani yanaweza kutumika kuondoa mabaka/Madoa yatokanayo na chunusi kwa mwanaume?

Na pia ni mafuta gani sahihi kwa ngozi yenye mafuta?

Naomba ushauri.
 
Tafuta dawa inayoitwa pro active kama unataka result za chap chap
 
Back
Top Bottom