Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Ndio madokta, mnijuze na mnieleze, chunusi inatokana na nini kwa mwanaume? Na inaondolewa vipi au na dawa gani? Pia, nitajilinda/nitajikinga vipi, ili nisipatwe na chunusi?
Au nifanye nini ili nisipatwe na chunusi
Madoktari na wote mnaoweza kunisaidia, mnisaidie.
Au nifanye nini ili nisipatwe na chunusi
Madoktari na wote mnaoweza kunisaidia, mnisaidie.