Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 820
- 1,505
Ngoja nianze nianze.Fanya mapenzi.. nasikia ndio dawa, alisikia dr mmoja uchwara
Umri: 17 yearsUmri wako ni gani?
Pia unaweza kutuma picha nione uzito wa tatizo lako?
Kwa umri huo nadhani itakuwa ni chunusi za kawaida ambazo zinachochewa na mabadiliko ya homoni,Umri: 17 years
Picha siwezi kuweka, simu yangu haiwezi.
Sawa.
Poa poa.Kwa umri huo nadhani itakuwa ni chunusi za kawaida ambazo zinachochewa na mabadiliko ya homoni,
So unaweza kutumia tyubu za kupaka usoni kama person gel 2.5 au persol gel 5 ambazo zitasaidia kupunguza sana ama kumaliza kabisa, lkn ukifika miaka 22+ zitaisha zenyewe na hutalazimika kutumia hizo tyubu.
Lkn endapo utafika umri wa 22+ na zikaendelea na zikawa serious kama zile za fid Q au marehemu kanumba, hizo ni acne na huwezi kuzitibu kwa tyubu yoyote.
Asante kwa maelezo mazuri,sorry ndg mtaalamu naulizia dawa ya kuondoa makovu yatokanayo na chunusiKwa umri huo nadhani itakuwa ni chunusi za kawaida ambazo zinachochewa na mabadiliko ya homoni,