aiseemwanaume wa dar
aisee
Mwanaume wa dar. Nenda hospital au kwa wataalamu wa ngozi watakushauri kipi cha kufanya.Habari Jf,kama kichwa cha habari kinavyo jieleza na taka kujua tiba yake na mafuta yapi ni mazuri kutumia kwa ngozi zilizo mix(mafuta&kavu) kwa sasa na tumia cleare cocoabutter ila naona ina ni toa vipele mimi ni mwanaume wa dar, asanteni na subiri ushauri wenu
Kabisa, niko Lindi, NachunyuWa mkoani uta wajua tu
Mwanaume wa dar. Nenda hospital au kwa wataalamu wa ngozi watakushauri kipi cha kufanya.