Habari Jf,kama kichwa cha habari kinavyo jieleza na taka kujua tiba yake na mafuta yapi ni mazuri kutumia kwa ngozi zilizo mix(mafuta&kavu) kwa sasa na tumia cleare cocoabutter ila naona ina ni toa vipele mimi ni mwanaume wa dar, asanteni na subiri ushauri wenu