Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Tazama Anubis Wikipedia,utaona picha hiyo hiyo,kichwa cha mbwa mwitu,wolf.Hivi hicho ni kichwa cha mbwa mwitu ama mbuzi ?
Astaghaf... Ukipiga voda huyo chunusi arltaacha kuishi baharibi na kuhamia kwako kukuletea mtandaoKama huyo wa nigeria ukikutana nae huko ufukwen asee unapiga mzigo kabisa mpaka yale mambo yetu.......wazee wa voda
Huyo wa Misri mwenye kichwa cha mbwa mwitu ni Anubis.
GANGA ndio jina la mto Ganges na yule mtu mwenye mikono minne ni Vishnu au Krishna.
Eti Hadithi[emoji1] [emoji1]Sijui kama kuna chunusi latika hii hadithi. Lakini mahala popote ambapo watu wanakufakufa,wanaweza kuwepo ghosts,etheric beings ambao ni mvuke umetoka katika wale watu waliokufa.
Na litimie neno lakoHuyo wa naijeria mi aniue tu!!
Ole wako nife!!Na litimie neno lako
kwa kiswahil hiki kanda ya ziwa huchomokiHao ndugu wajaribu kutembea kidogo
Kumbuka haya mambo yapo hata ktk vitabu jini haonwi na binadamu mpaka atake mwenyewe au ufuate mashart mahsusiHaya ni mambo yakusadikika hayana ukweli kila unaemuuliza anasema anasikia tu aje hapa aliona kwa macho yake sio kuleta hadith za kijinga hapa