Chunusi yaua kijana Tanga

Chunusi yaua kijana Tanga

Lakini ni jambo zuri kwamba huyu kijana hakutaka kugombana na mama yake kwa ajili ya Lowassa. Huko Tarime wapo Wakurya wengi wanagombana kwa ajili ya Rowassa. Au uhasama uliopo Zanzibar.
 
mmmh vitu hivi vinatisha...allah amsameh makosa yake na pepo iwe kwake makazi..ameen
 
... hizo picha zinaonyesha chunusi kumbe wana maumbile ya kike
 
Kwa uelewa wangu, chunusi ni jini lipo baharini/Mtoni/ ziwani! Hoyu kijana amenchuku! Amemla! Lkini mbona kama alikiona kifo chake? Au mikono ya watu Fulani Fulani inahusika!
 
Sijui kama kuna chunusi latika hii hadithi. Lakini mahala popote ambapo watu wanakufakufa,wanaweza kuwepo ghosts,etheric beings ambao ni mvuke umetoka katika wale watu waliokufa.
Eti Hadithi[emoji1] [emoji1]
 
Mimi mpaka leo sijui jinsi ya kuogelea na wala sipendi kujua.. Hivi mnaoogelea kuna faida /raha gani hasa? R. I. P kijana
 
Sitaki urafiki kabisa na maji nilishawahi kuzama kwenye bwawa la kijiji nikaokolewa na mfugaji mshamba mshamba tu mpk sasa hata nikienda baharini Yale maji huwa nayaona ni kama kiumbe hali chenye macho akili mikono na mguu
 
Haya ni mambo yakusadikika hayana ukweli kila unaemuuliza anasema anasikia tu aje hapa aliona kwa macho yake sio kuleta hadith za kijinga hapa
Kumbuka haya mambo yapo hata ktk vitabu jini haonwi na binadamu mpaka atake mwenyewe au ufuate mashart mahsusi
 
Back
Top Bottom