Emanual thedon
Member
- May 17, 2018
- 49
- 15
Apumzike kwa aman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wanajamvi,
Leo nimekuja na habari ya kweli na kusikitisha iliyonipa maswali magumu ambayo ni haya kwanza Chunusi wa baharini ni jini au mnyama? Je sayansi inatambuaje maiti iliyouliwa na Chunusi?
Basi habari yenyewe ni hii niliyoipata kwa stuff mwenzangu kuhusu msiba uliotokea kwa jirani yake mtoto aliekua akifanya kijiwe na wenzake nje ya fensi ya jirani yangu.
Wiki moja kabla ya kifo kijana huyo aliuza simu yake akidai mitandao inamfanya aangalie vitu vya ajabu, Jumapili siku ya tukio alimuomba radhi mama yake kwani walipishana itikadi kipindi cha uchaguzi mama akiwa CCM mtoto shabiki mnazi wa Lowassa na chama kubwa CHADEMA (UKAWA) tofauti hii iliwafanya wapishane kiasi flani hivo siku hio alimuomba msamaha mama yake nakumwambia hawatapishana tena kwasababu ya siasa.
Jamapili hio hio aliamua kufua nguo zake zoote na kubaki na nguo alioivaa tu huku akitangaza hataki uchafu maishani mwake, mama yake kwa furaha ya kuombwa msamaha na mwanae akaamua kumpikia pilau mwanae maana amejirudi.
Wakati shuhuli zote zinaendelea kijana aliamua kumtania mama yake nakumwambia apunguze kukopa lasivo kama yeye hatokuwepo hatokua na mtu wakumsaidia kulipa na hivo atamkunbuka sana hivo ajiandae kuacha kukopa.
Baada yakumaliza kufua na mama mtu alikua anafunikia pilau Jumapili hio kijana akaamua kwenda kwa washkaji zake mara moja mama alimsisitiza asichelewe, kufika tu kwa wenzake wakamwambia walikua wanamfuata ili waende bichi kuogelea kijana alikataa katu katu akasema leo hajisikii kutoka anataka ashinde nyumbani tu.
Kwakua wenzake walikua wawili walimzidi ushawishi ikabidi aende bila hata kula kufika kituo cha basi wanakutana na rafki yao mwngine nae akamsisitiza asiende kwani siku hio si nzuri, alimsihi sana jamaa akataka kukubali lakini wale wawil walishinda tena.
Kufika bichi kijana akawaambia wenzake kwamba leo anaweza kurudi nyunbani bila nguo, wenzake walipuuzia kwani walijua ni utani wake maana ni mtu mtani sana.
Hapo kwenye bold alikua anamaanisha atarudi kwa MUNGU, Tusiwe tunapuuzia maneno anayosema mtu.
Wakaanza kuogelea baada ya mda hawamuoni mwenzao wakazani labda ameondoka nyumbani na kibukta kama alivosema hatorudi na nguo nyumbani, kufika geti la bichi anaulizwa mlizi kama kamuona akitoka akasema hapana kufika nyumbani kwao pia hajafika na nguo wanazo mkononi.
Ikajaa hofu nyumbani wakijua kesha zama, wakatoa taarifa polisi na wao wakaamua kwenda baharini alipokua akiogelea waone kama watauona japo mwili, na kweli waliuona ukielea wakautoa uli mwili ukiwa na matope miguuni tu macho yamemtoka na mikono ngozi kama alikua anashindana na mtu lakini akiwa hajavimba kwamba alikunywa maji, mpaka anazikwa macho yakiwa wazi yamekataa kufumba.
Inasikitisha ila inaniacha na maswali nashindwa kuamini ni kweli chunusu?
Mwenye uelewa na haya karibu utusaidie
Hapo Tanganyika ziwa kama kisima mguu wa kwanza mwili wote una poteaChunusi anatisha lakini sitoacha kamwe kuogelea lake Tanganyika bangwe beach,Mto Mbulumi Moro,bahari ya hindi coco na mto karanga..
kwa waliokaa moshi kuna msitu ukielekea langoni kuna sehemu mto rau unapotea machoni sasa pale unapopotea mbuzi wengi walikwenda pale akianza kuzama ukijaribu kumuokoa wote mnakwenda kusalimia kusikojulikana na tutakufuata baada ya siku tatu au mbili samaki wakiwa wamejiburudisha macho na viganja vyako.na nimeshuhudia tukiwapoteza ndugu zetu waili pale lake duluti baada ya msichana rafiki yetu aliitwa hadija kuanguka kwenye kiboti sasa mshikaji akiitwa Azza akajaribu kumuokoa mpaka leo imebaki stori tuliipata miili yao asubuhi yake.Aisee hizi kitu zipo bana.
Kipindi nakua tulikuwa tunaenda machungoni na mifugo kadhaa.lakini kuna maeneo karib na mito yalikuwa yanazungushiwa fence ya miiba, na katikati yake kulikuwa na maji yasiyokauka.
Tulikuwa tunaambiwa tukikuta sehemu ya hivyo ni marufuku hata kusogea kwenda kudadisi kuna nini ndani ya yale maji, ni marufuku kupitisha mifugo karibu eneo hilo na kama itapita kwa kukuzidi achana nayo yaan jamaa litakuwa limeivuta linataka damu, so ukilazimisha kuitoa kibao kitakugeukia.
nahisi huwanyonya damu kwa kuwabaka kwa kutumia midomo chini.... hizo picha zinaonyesha chunusi kumbe wana maumbile ya kike
Ndio mkuu hatua chache tu ziwa lina kina kirefu sana tunakomaa nalo kibishi.Hapo Tanganyika ziwa kama kisima mguu wa kwanza mwili wote una potea
Habari wanajamvi,
Leo nimekuja na habari ya kweli na kusikitisha iliyonipa maswali magumu ambayo ni haya kwanza Chunusi wa baharini ni jini au mnyama? Je sayansi inatambuaje maiti iliyouliwa na Chunusi?
Basi habari yenyewe ni hii niliyoipata kwa stuff mwenzangu kuhusu msiba uliotokea kwa jirani yake mtoto aliekua akifanya kijiwe na wenzake nje ya fensi ya jirani yangu.
Wiki moja kabla ya kifo kijana huyo aliuza simu yake akidai mitandao inamfanya aangalie vitu vya ajabu, Jumapili siku ya tukio alimuomba radhi mama yake kwani walipishana itikadi kipindi cha uchaguzi mama akiwa CCM mtoto shabiki mnazi wa Lowassa na chama kubwa CHADEMA (UKAWA) tofauti hii iliwafanya wapishane kiasi flani hivo siku hio alimuomba msamaha mama yake nakumwambia hawatapishana tena kwasababu ya siasa.
Jamapili hio hio aliamua kufua nguo zake zoote na kubaki na nguo alioivaa tu huku akitangaza hataki uchafu maishani mwake, mama yake kwa furaha ya kuombwa msamaha na mwanae akaamua kumpikia pilau mwanae maana amejirudi.
Wakati shuhuli zote zinaendelea kijana aliamua kumtania mama yake nakumwambia apunguze kukopa lasivo kama yeye hatokuwepo hatokua na mtu wakumsaidia kulipa na hivo atamkunbuka sana hivo ajiandae kuacha kukopa.
Baada yakumaliza kufua na mama mtu alikua anafunikia pilau Jumapili hio kijana akaamua kwenda kwa washkaji zake mara moja mama alimsisitiza asichelewe, kufika tu kwa wenzake wakamwambia walikua wanamfuata ili waende bichi kuogelea kijana alikataa katu katu akasema leo hajisikii kutoka anataka ashinde nyumbani tu.
Kwakua wenzake walikua wawili walimzidi ushawishi ikabidi aende bila hata kula kufika kituo cha basi wanakutana na rafki yao mwngine nae akamsisitiza asiende kwani siku hio si nzuri, alimsihi sana jamaa akataka kukubali lakini wale wawil walishinda tena.
Kufika bichi kijana akawaambia wenzake kwamba leo anaweza kurudi nyunbani bila nguo, wenzake walipuuzia kwani walijua ni utani wake maana ni mtu mtani sana.
Wakaanza kuogelea baada ya mda hawamuoni mwenzao wakazani labda ameondoka nyumbani na kibukta kama alivosema hatorudi na nguo nyumbani, kufika geti la bichi anaulizwa mlizi kama kamuona akitoka akasema hapana kufika nyumbani kwao pia hajafika na nguo wanazo mkononi.
Ikajaa hofu nyumbani wakijua kesha zama, wakatoa taarifa polisi na wao wakaamua kwenda baharini alipokua akiogelea waone kama watauona japo mwili, na kweli waliuona ukielea wakautoa uli mwili ukiwa na matope miguuni tu macho yamemtoka na mikono ngozi kama alikua anashindana na mtu lakini akiwa hajavimba kwamba alikunywa maji, mpaka anazikwa macho yakiwa wazi yamekataa kufumba.
Inasikitisha ila inaniacha na maswali nashindwa kuamini ni kweli chunusu?
Mwenye uelewa na haya karibu utusaidie
Daah hiii story inanikumbush kifo cha ndugu yang paskal aisee kama ningekuwepo hy siku tungekufa wot nisingekubal kuacha kamand wang apotee.. inasemekan alikuw ni chunus , waokoaj walimtafut bila mafanikio akakutw asubuh ngozi ya paja imechunwa damu zimetoka mpk zimgandian kiukwl it was very bad day for me lile bwawa had Leo nalichukiaHabari wanajamvi,
Leo nimekuja na habari ya kweli na kusikitisha iliyonipa maswali magumu ambayo ni haya kwanza Chunusi wa baharini ni jini au mnyama? Je sayansi inatambuaje maiti iliyouliwa na Chunusi?
Basi habari yenyewe ni hii niliyoipata kwa stuff mwenzangu kuhusu msiba uliotokea kwa jirani yake mtoto aliekua akifanya kijiwe na wenzake nje ya fensi ya jirani yangu.
Wiki moja kabla ya kifo kijana huyo aliuza simu yake akidai mitandao inamfanya aangalie vitu vya ajabu, Jumapili siku ya tukio alimuomba radhi mama yake kwani walipishana itikadi kipindi cha uchaguzi mama akiwa CCM mtoto shabiki mnazi wa Lowassa na chama kubwa CHADEMA (UKAWA) tofauti hii iliwafanya wapishane kiasi flani hivo siku hio alimuomba msamaha mama yake nakumwambia hawatapishana tena kwasababu ya siasa.
Jamapili hio hio aliamua kufua nguo zake zoote na kubaki na nguo alioivaa tu huku akitangaza hataki uchafu maishani mwake, mama yake kwa furaha ya kuombwa msamaha na mwanae akaamua kumpikia pilau mwanae maana amejirudi.
Wakati shuhuli zote zinaendelea kijana aliamua kumtania mama yake nakumwambia apunguze kukopa lasivo kama yeye hatokuwepo hatokua na mtu wakumsaidia kulipa na hivo atamkunbuka sana hivo ajiandae kuacha kukopa.
Baada yakumaliza kufua na mama mtu alikua anafunikia pilau Jumapili hio kijana akaamua kwenda kwa washkaji zake mara moja mama alimsisitiza asichelewe, kufika tu kwa wenzake wakamwambia walikua wanamfuata ili waende bichi kuogelea kijana alikataa katu katu akasema leo hajisikii kutoka anataka ashinde nyumbani tu.
Kwakua wenzake walikua wawili walimzidi ushawishi ikabidi aende bila hata kula kufika kituo cha basi wanakutana na rafki yao mwngine nae akamsisitiza asiende kwani siku hio si nzuri, alimsihi sana jamaa akataka kukubali lakini wale wawil walishinda tena.
Kufika bichi kijana akawaambia wenzake kwamba leo anaweza kurudi nyunbani bila nguo, wenzake walipuuzia kwani walijua ni utani wake maana ni mtu mtani sana.
Wakaanza kuogelea baada ya mda hawamuoni mwenzao wakazani labda ameondoka nyumbani na kibukta kama alivosema hatorudi na nguo nyumbani, kufika geti la bichi anaulizwa mlizi kama kamuona akitoka akasema hapana kufika nyumbani kwao pia hajafika na nguo wanazo mkononi.
Ikajaa hofu nyumbani wakijua kesha zama, wakatoa taarifa polisi na wao wakaamua kwenda baharini alipokua akiogelea waone kama watauona japo mwili, na kweli waliuona ukielea wakautoa uli mwili ukiwa na matope miguuni tu macho yamemtoka na mikono ngozi kama alikua anashindana na mtu lakini akiwa hajavimba kwamba alikunywa maji, mpaka anazikwa macho yakiwa wazi yamekataa kufumba.
Inasikitisha ila inaniacha na maswali nashindwa kuamini ni kweli chunusu?
Mwenye uelewa na haya karibu utusaidie
Kwaio mkuu umeme tuli ndo unasifa ya kufany mtu asionekan siku tatuMvuvi maarufu na mtaalamu wa mambo ya bahari na mito, bwana Hmood Nassor Hamdoun anaeleza dhana moja ndegefu inaoaminika na wengi hasa wa mwambao mwa pwani kwamba baharini kuna jini liitwalo Chunusi.
Akitumia picha tanzu bwana Hmood anasema, katika picha anaitwa chunusi ila kwa jina lingine anaitwa "electric eel". Anafanana na kambale. Anatoa umeme wa aina ya tuli (static electricity) hadi vilt 850v.
Kiwango hicho cha umeme kinatosha vizuri kuua binaadamu na damu kuganda ndio maana utasikia wanasema jini chunusi ananyonya damu.
Ni vigumu kumvua kutokana na maumbile yake na umeme autoao. Wengi hawajawahi kumuona ndiyo maana inabaki kuwa tu ni jini wa kwenye maji.
La Voice ni muafrica wa kwanza kugundua kuwa chunusi sio jini bali ni electric eel.
___________________
Kupanua ufahamu wako zaidi, endelea kufunua kurasa za kitabu pendwa cha Taifa cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi.
Nunua kitabu cha Ujasusi kwa @ 80,000/= popote ulipo.
Lipia 80,000 kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo. Nje ya Dar utachangia nauli
Cc @yericko nyerereView attachment 1323986
Sent using Jamii Forums mobile app