Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

Piga maji kwa wingi (zingatia uzito wako) na angalia unachotumia kwenye ngozi, huenda una react na kitu!

Kama haupo katika miaka ya kubalehe lakini, maana hili halikwepeki!
 
Hiyo sabun ndo nimenunu leo ikianza kuleta matokea nitakwambia
Shukulan sana
 
Sawa ndugu kikubwa pia Imani ila wengi imewasaidia hata mm ilinisaidia na mpaka leo naitumia miaka kumi sasa
Blessed maana wanang wanasema hupig mgegedo na manzi wapo tele every i got free they come to my gheto 🤣🤣
 
Nikikutajia dawa ambayo ukitumia utasahau chunus utanipa zawad gan.

Pia acha kula mayai na mavyakila yenye mafuta.

Hyo dawa unakunywa kama supliments..

100% inaondoa hvo vtu.sabab chunus haitibiw kwa nje bali kwa ndan..wanaokwambia dawa za kupaka sjui nin..utapoteza mda tu
 
Nunua set ya gentle magic ipo vizuri kwa tatizo la chunusi.
 
Kama ni Men Tafuta Dem Gonga Punguza Protein Hzo kama domo mamba piga hata nyeto twice a week (in a safe way)

Kama ni dem 21+ of age tafuta jamaa akudandie atleast twice a month (in a safe way)

U’ll Be Ait
 
Inaitwaje mzee
 
Kama ni Men Tafuta Dem Gonga Punguza Protein Hzo kama domo mamba piga hata nyeto twice a week (in a safe way)

Kama ni dem 21+ of age tafuta jamaa akudandie atleast twice a month (in a safe way)

U’ll Be Ait
Mkuu mbona madem ninao wakutoshha
 
Taja kwa faida ya watu hapa jukwaani

 

mkuu hebu tutajie kitu, pia kama inaongeza na nguvu za kiume ni nzuri zaidi
 
Kabisa...sio accutane kweli hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…