Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
Usipende kutumia vitu vyenye mafuta sana....mf karanga....kama unatumia shower gel iwekee manjano kidg na rose water....shuka na foronya viwe Safi sana kila siku....simu yako uwe unaifuta vzuri kbla ujaiweka sikioni..... usipende kujishika shika uso kila mara kwa mara.....kabla ya kulala make sure uso ni msafi
 
mleta mada, Jawabu la tatizo lako hili hapa, Achana na habari zingine
 
Kama uso wako ni wamafuta fanya hivi...
Usishikeshike wala kubinya binya uso..(nakazia kwa msisitizo)
Na ukitaka kufanya hivo nawa mikono na osha uso na sabuni..
Ukimaliza kujibinya osha tena uso.
Hakikisha unaosha uso asubuh ukiamka na usiku kabla ya kulala..
Usitumie foronya ya mto zaidi ya siku mbili.
Utanishukuru baadae.
Kama una nywele ndefu zikate mpaka utakapo pona.
 
Nimetumia dawa za aina nyingi na hizi tube zinapungua kidogo zen zinarudi sasa hivi ndio zimeongezeka msaada wenu hapo wakuu tiba ipi ni nzuri.
Anatic soap ndio dawa pekee ya tatizo lako.wasilana nasi kwa namba 0678211747. Tupo ILALA BOMA MWALU HOUSE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…