S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Mar 11, 2013 #1 Wakuu naomba kuuliza chuo kipi bora cha afya hapa nchini kwetu Tanzania? Naomba mnijuze ili mtoto wenu na mdogo wenu niweze kukijua ili nijipange mapemaaaaaa! Naombeni msaada wenu wakuu
Wakuu naomba kuuliza chuo kipi bora cha afya hapa nchini kwetu Tanzania? Naomba mnijuze ili mtoto wenu na mdogo wenu niweze kukijua ili nijipange mapemaaaaaa! Naombeni msaada wenu wakuu
Ben40 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2012 Posts 207 Reaction score 37 Mar 11, 2013 #2 Uanze kujipanga wakati muda ndio unaishia
S Sheko JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 280 Reaction score 26 Mar 11, 2013 Thread starter #3 Ben40 said: Uanze kujipanga wakati muda ndio unaishia Click to expand... ha! muda unaisha vp mkubwa wakati mwisho wa kupost maombi ni tarehe 30 april.na taarifa híi nimeipata humu humu JF
Ben40 said: Uanze kujipanga wakati muda ndio unaishia Click to expand... ha! muda unaisha vp mkubwa wakati mwisho wa kupost maombi ni tarehe 30 april.na taarifa híi nimeipata humu humu JF