Chuo bora cha afya

Chuo bora cha afya

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wakuu naomba kuuliza chuo kipi bora cha afya hapa nchini kwetu Tanzania? Naomba mnijuze ili mtoto wenu na mdogo wenu niweze kukijua ili nijipange mapemaaaaaa! Naombeni msaada wenu wakuu
 
Uanze kujipanga wakati muda ndio unaishia
 
Uanze kujipanga wakati muda ndio unaishia
ha! muda unaisha vp mkubwa wakati mwisho wa kupost maombi ni tarehe 30 april.na taarifa híi nimeipata humu humu JF
 
Back
Top Bottom