Chuo bora hiki hapa.....Bonyeza kidude

Chuo bora hiki hapa.....Bonyeza kidude

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wewe hakuna chuo bora....Ila kuna wanafunzi bora ambao wanaweza kutatua matatizo ya nchi.....Una nini kichwani,unatoa service gani,Vyuo ni kama daladala bora ufike...Chuo bora ni unani kichwani
 
Ubora wa chuo ni services zinazotolewa. Tujitahidi tuwe tunahoji mambo ya elimu kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Ni kweli kabisa......Mwana jf unacemaje:::je kuna chuo bora
 
chuo bora kpo na ndo maana hata credit za kujiunga na vyuo znatofautiana.usangalie tu kwa mtazamo wa tz, ukienda marekan chuo knachoheshimika au ni bora kurko vyote marekani ni havard university na kna sifa ya kutoa marais wanaoongoza nchi hiyo takriban marais wote wa marekan wamesoma chuon hapo, au oxford
 
Kuna nchi ambazo zna uwezo wa kutengansha vyuo kutokana na ubora wa chuo ila kwa tanzania kwa sasa wanaiga2 ila bdo cjaona utofauti wa huduma znazotolewa chuoni
 
Kweli kabisa:::::wana jf mna mchango gani
 
Back
Top Bottom