Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

Mjinga kabisa huyo ameona kuongea mbele ya camera ni sifa kumbe anajiua yeye na mwenzake
 
Kuna elimu hapa bongo au tunakaririshwa tu
 
Hapo wanapo fanana kweli kweli ndiyo huwezi thibitisha ni nani kafanya udanganyifu!!? Hapo bado pagumu!!
 
Kwa mtihani wa form six haiwezekani

Always BAM hufanyika pamoja na Pure Math's kwa sababu hakuna anayesoma hayo masomo kwa pamoja

Hivo kila mwaka ratiba yake huwekwa kufanyika mda mmoja
 
Duu hivi vyuo jamani kwa hiyo kumbe watu wanaweza fanyiana mitihani kwakuwa ni mapacha? Ina maana kila kitu hadi registration number wana fanana? Ili la kwenda kwenye vyombo vya habari na kukiri ni fedheha kubwa sana kwa chuo!
Tukikwambia uwatofautishe,yupi kamfanyia mtihani mwenzake unaweza watofautisha!!??
 
Alafu ni mizuri tu ina mishedede hatari!
 
If you have found guilty or misconduct, even decades after graduating, academic institutions have the right to revoke your degree.

A college can revoke a degree if a student is discovered to have earned it illegitimately, be it by plagiarism or any other form of academic misconduct.

Kwa msaada wa mtandao.
 
Unaweza kujikutq unawala wote bila kujua usikute hata radha wanafanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…