Chuo cha Ardhi kinapaswa kuchukua hatua dhidi ya mabinti mapacha waliokiri kufanyiana mitihani

Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani!

Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha wanaweza kufanyiana mitihani na wana kiri hadharani kuwa walifanyiana mitihani tena ya supplimentary basi ujue hii ni hatua kubwa na dharau kubwa sana kwa taasisi hasa ya Elimu ya juu na inayo aminika.

Hawa mabinti wanasema waliweza kufanyiana mitihani na walimaliza chuo kikuu Ardhi(ARU) mwaka 2021 hakuna aliyegundua na sasa wanakwenda hadharani kusema kuwa waliweza kufanya hivyo ni wazi dharau sana kwa taasisi hii ya Elimu na inathibitisha kuwa taasisi hii haiko makini na kuna walakini kwenye hutoaji wa Elimu.

Watu wana hangaika sana kupata elimu halafu watu wanaidhalilisha elimu kiasi hiki, hii ni aibu kwa chuo cha Ardhi na Wizara ya Elimu pia.

Watu wengi wamekuwa wakitilia mashaka sana Elimu zetu hasa utoaji wake na sasa ni wazi wahalifu wameanza kutoa ushahidi wa mashaka kwenye hizi degree zilizojaa mtaani.

Ni matuamaini yangu taasisi itachukua hatua kali dhidi ya uhalifu huu wa kielemu uliofanywa na hawa mapacha na kwenda kukiri hadharani kwenye chombo cha habari Wasafi FM.

Source: Wasafi FM

Pia soma: Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo
Nmefanyia sana watu necta ya darasa la 4 ....karibia watu wanne hivi...ili shule ionekane inafaulisha balaaa...
 
Attachments

  • IMG_2065.jpeg
    IMG_2065.jpeg
    185.8 KB · Views: 1
Hizo ni stories hazina ukweli wote, wanawez wakasema pale tulikuwa tunatania ndio maaana tulikuwa tunacheka
 
Aisee imekula kwao,na chuo cha ardhi huwa wapo serious kweli

Nakumbuka nikiwa mwaka wa pili,kuna mwanafunzi alienda kushiriki mashindano ya kutafuta mchumba,then akajitambulisha anatoka chuo cha ardhi,na anasoma architecture, aisee aliwashiwa moto wa kufa mtuView attachment 2927186
Hamna chuo hapo , takataka kabisa hivi vyuo vya serikali

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Aisee imekula kwao,na chuo cha ardhi huwa wapo serious kweli

Nakumbuka nikiwa mwaka wa pili,kuna mwanafunzi alienda kushiriki mashindano ya kutafuta mchumba,then akajitambulisha anatoka chuo cha ardhi,na anasoma architecture, aisee aliwashiwa moto wa kufa mtuView attachment 2927186
Halafu utakuta ndio waliopata GPA za first class honours
Elimu ya Bongo ni rubbish kabisa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu kabisa hadharani!

Chuo cha Ardhi ni chuo kizuri lakini ikifika hatua ya watu kisa tuu mapacha wanaweza kufanyiana mitihani na wana kiri hadharani kuwa walifanyiana mitihani tena ya supplimentary basi ujue hii ni hatua kubwa na dharau kubwa sana kwa taasisi hasa ya Elimu ya juu na inayo aminika.

Hawa mabinti wanasema waliweza kufanyiana mitihani na walimaliza chuo kikuu Ardhi(ARU) mwaka 2021 hakuna aliyegundua na sasa wanakwenda hadharani kusema kuwa waliweza kufanya hivyo ni wazi dharau sana kwa taasisi hii ya Elimu na inathibitisha kuwa taasisi hii haiko makini na kuna walakini kwenye hutoaji wa Elimu.

Watu wana hangaika sana kupata elimu halafu watu wanaidhalilisha elimu kiasi hiki, hii ni aibu kwa chuo cha Ardhi na Wizara ya Elimu pia.

Watu wengi wamekuwa wakitilia mashaka sana Elimu zetu hasa utoaji wake na sasa ni wazi wahalifu wameanza kutoa ushahidi wa mashaka kwenye hizi degree zilizojaa mtaani.

Ni matuamaini yangu taasisi itachukua hatua kali dhidi ya uhalifu huu wa kielemu uliofanywa na hawa mapacha na kwenda kukiri hadharani kwenye chombo cha habari Wasafi FM.

Source: Wasafi FM

Pia soma: Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo
Naona uliamua kuwasagia kunguni hadi chuo cha Ardhi kimetoa tamko la kuwafuatilia rasmi.
 
Kesi ndogo maana ushahid utakosekana kwa pia wanaweza kusema ilikuwa kiki tu

Hao hata lecture kuwatofautisha hawezi mifumo ya camera pia haiwezi
So what next

Wataendelea tu kuishi somo moja tu
 
Naona uliamua kuwasagia kunguni hadi chuo cha Ardhi kimetoa tamko la kuwafuatilia rasmi.
apo ndo akili ya mweusi ilipoishia mkuu

mwenzie akiharibikiwa ndo anakuwa raha mustarehe

yani bora tufanane[emoji57]
 
Back
Top Bottom