A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza Diploma katika chuo cha CBE, changamoto yangu kubwa hawataki kupeleka matokeo yangu NACTE ili niweze kuapply AVN namba niweze kuendelea na degree.
Nimejaribu kwenda mara nyingi lakini jibu nalojibiwa tunafanyia kazi, sasa ni miezi miwili nahangaika maana mimi ni nimesoma March intake
Nakata hadi tamaa ya kuendelea degree kwasababu nataka niombe mkopo nakwama na dirisha la mkopo linafugwa tarehe 31/8
Naombeni mnisaidie niweze kuendelea na masomo.