Katika Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo. Kwa mfano, mwanafunzi anayesoma Accountancy anaweza kukuta somo linalopaswa kuwa la msingi (core subject) limepewa credit chache, hali inayoathiri mchango wake katika kukokotoa GPA.
Hali hii inazua maswali kuhusu vigezo vinavyotumika kugawa credit za masomo na kama vinaendana na umuhimu wa kila somo katika taaluma husika. Tunaomba uongozi wa chuo uangalie upya mgawanyo huo ili kuhakikisha kuna uwiano unaofaa na haki kwa wanafunzi.