Chuo Cha Elimu aa Biashara (CBE) kuzindua sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kianzishwe

Chuo Cha Elimu aa Biashara (CBE) kuzindua sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kianzishwe

Joined
Feb 21, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Wana jukwaa poleni na shughuli zenu za leo.

Napenda kuwajulisehni kuwa Chuo chetu cha Elimu ya Biashara (CBE) kitatimiza miaka 50 tangu kianzishwe tarehe 25/01/2015. Chuo kimepanga kuzindua sherehe za kuazimisha miaka 50 tarehe 31/07/2014. Watu wote waliowahi kusoma CBE (CBE Alumnae) na wengine wanakaribishwa sana.Pia CBE ALUMNAE mtakao pata taarifa hii mnaomba kuwtaarifu ALUMNAE wengine.

Itakumbukwa pia kuwa chuo hiki kwa kushrikiana na "Eastern Finiland University" Kilizindua PHD HUB ambapo Profesor kutoka chuo hicho cha Finiland atahamishia kiti chake cha U-Professor hapa CBE na kuwasimamia wanafunzi wa PHD akiwa hapa hapa CBE

Mnakaribishwa


Source Mimi mwenyewe
 
Back
Top Bottom