chuo cha ifm cha

chuo cha ifm cha

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
chuo cha ifm ndugu zangu kinasheria usipofanya mtiani mmoja unakuwa ume disco hili ni kweli?sababu mdogo wangu kamaliza certificate ya accounts mwaka huu ila kutokana na matatizo ya kifedha kwao hakufanya project yake ya mwisho sababu alipungukiwa fedha ya kufanyia kazi hiyo ikamradhimu kuchelewesha kuipeleka na alivyopeleka wakaikataa na wakamfungia matokeo yake ya mwisho na ikamradhimu kuendelea na diploma,wamemkataa kuendelea na diploma kisa project.wataalamu nifanyeje maana kachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom