mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
Kipindi kuanzia mwaka 2010 kurudi nyuma wakati chuo cha IFM kinatoa advance diploma na wala sio degree ni tofauti sana na sasa baada ya kuanza kutoa degree.Ifm ilikuwa ni sehemu ya maonyesho ya mavazi,wanafunzi walikuwa smart kuliko walimu wao na hata kuliko wafanyakazi wa maofisini,warembo wakali kuliko hawa wanaoshikiri mashindano ya umiss kwa sasa.Ifm kulikuwa huwezi kumsikia mtu anakwambia sijui nimetoka wilaya ya NAMTUMBO nimekuja kusoma wanafunzi karibu asilimia 99% ni wale wa DSM,arusha,moshi na kwa mikoa mingine ni wale wa mjini kabisa.lakini yangu wake hawa TCU na LOAN BOARD yao chuo kimekuwa kama UDOM au UDSM mpaka wavaa ndala wanasoma