Chuo cha IFM enzi za zamani katika ubora wake

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
561
Kipindi kuanzia mwaka 2010 kurudi nyuma wakati chuo cha IFM kinatoa advance diploma na wala sio degree ni tofauti sana na sasa baada ya kuanza kutoa degree.Ifm ilikuwa ni sehemu ya maonyesho ya mavazi,wanafunzi walikuwa smart kuliko walimu wao na hata kuliko wafanyakazi wa maofisini,warembo wakali kuliko hawa wanaoshikiri mashindano ya umiss kwa sasa.Ifm kulikuwa huwezi kumsikia mtu anakwambia sijui nimetoka wilaya ya NAMTUMBO nimekuja kusoma wanafunzi karibu asilimia 99% ni wale wa DSM,arusha,moshi na kwa mikoa mingine ni wale wa mjini kabisa.lakini yangu wake hawa TCU na LOAN BOARD yao chuo kimekuwa kama UDOM au UDSM mpaka wavaa ndala wanasoma
 
aisee bonge la chuo nilikuwepo hapo ADA, un succesfull cpa review na postgraduate tax management naamini nitarudi hapo siku kufanya msc finance japo kaumri kanasonga sasa!
bado kina hadhi yake,hao wanaokiponda hawajui kuwa fani za benki,bima,kodi,hifadhi ya jamii na uhasibu tunakimbiza afrika mashariki nzima
nao wanaokiponda ni watoto wa mikoani sio down town kitambo wakina sie
 
Nilimaliza mwaka 2009. Lakini bado naamini IFM bado kipo vizuri. Kuvaa vizuri hakuna mahusiano yoyote na kufaulu au kufeli, kupendeza ni hurka ya mtu.
 
Yani una compare udsm na Ifm unachekesha kweli halafu ubora wa uvaaji hausiana na mambo ya academically
 
aisee bonge la chuo nilikuwepo hapo ADA, un succesfull cpa review na postgraduate tax management naamini nitarudi hapo siku kufanya msc finance japo kaumri kanasonga sasa!
bado kina hadhi yake,hao wanaokiponda hawajui kuwa fani za benki,bima,kodi,hifadhi ya jamii na uhasibu tunakimbiza afrika mashariki nzima
nao wanaokiponda ni watoto wa mikoani sio down town kitambo wakina sie

Mkuu umemaliza mwaka gani?
 
Kumbe hata mpo juu ya udsm?
 
Yani una compare udsm na Imf unachekesha kweli halafu ubora wa uvaaji hausiana na mambo ya academically

Wewe ndo unachekesha yaan una-compare UDSM na IMF.........nahisi unamatatizo au ndo swaumu imekaza......???
Au ndo matatizo ya smatifoni......???
 
We tumia akili swaumu imeingiaje hapo sasa kichwa kikubwa empty set huoni hyo ni tatizo dogo ndo uelewa wako ulipo ishia hapo shame on you una low thinking capacity
 
Anisamehe kwa kisa gani na wewe iq ndogo shida sana umeshindwa ku comment hyo ndo ukaona point mxiiiuuuuiii

Nadhani umechanganyikiwa umebaki kushambulia kwa maneno tu. Unaonyesha ni jinsi gani ulivyo kilaza.
 
Kilaza mwenyewe unaandika pointless akili ndogo kuliko piriton nani kapaniki unawash.... Eti panic mxiiuuuu
 
Nadhani umechanganyikiwa umebaki kushambulia kwa maneno tu. Unaonyesha ni jinsi gani ulivyo kilaza.

Unawash... Si bure wewe nani kashambulia kwa maneno unaandika pointless jitu zima hvo eti kupaniki you need to.boost you are thinking capacity division 5 ya mwisho.kabisa kilaza na ukoo wenu mzima pathe.... Mxiuuuuiu
 
Hahaaaa nakwambia hujielewi wewe. Watu wamekushambulia hujui hata unacho andika wewe. Unazidi kunionyesha kwamba wewe ni kilaza hahaaaaaa hilooo.

Hujui maana hizi hata kidogo.

YOUR na YOU ARE.

Angalia ulichoandika hapo juu ndio utagundua kwamba wewe ni ganda la ndizi.
 
Ahahah IFM kama udom tu.. IFM ni chuo cha masharobaro.. Maadili yanaporomoka hapa
 
Hahaaaa nakwambia hujielewi wewe. Watu wamekushambulia hujui hata unacho andika wewe. Unazidi kunionyesha kwamba wewe ni kilaza hahaaaaaa hilooo.

Hujui maana hizi hata kidogo.

YOUR na YOU ARE.

Angalia ulichoandika hapo juu ndio utagundua kwamba wewe ni ganda la ndizi.

We ni empty set accept it eti you are ndo.umeona kosa kubwa jianaume.zima unahitaji kupgwa pu.. Wewe si bure ukiwa na Iq ndogo ni shida sana eti.watu.wame correct nini sasa kikosa kidogo.ndo umeshupalia wewe kilicho kushinda ku comment na kupita nini inaonyesha unataka ku.chokonole..a si.bure next time thing criticaly before commenting anything mxiiuuiiiiuuuii
 
Back
Top Bottom