bado mgawanyo wa rasilimali hauko sawa hapa. naona kila kitu bado kinawekwa kwenye mazingira yaleyale tu.
SERIKALI HEBU ANGALIENI NA MAENEO MENGINE BASI
BANDARI Ijengwe Bagamoyo,UWANJA WA NDEGE ujengwe Bagamoyo vyuo sasa vinapelekwa huko!GESI nayo inakuja huko.lakini sawa nyumbani kwanza...