Chuo cha ifm kuhamishiwa msata

bado mgawanyo wa rasilimali hauko sawa hapa. naona kila kitu bado kinawekwa kwenye mazingira yaleyale tu.
SERIKALI HEBU ANGALIENI NA MAENEO MENGINE BASI

BANDARI Ijengwe Bagamoyo,UWANJA WA NDEGE ujengwe Bagamoyo vyuo sasa vinapelekwa huko!GESI nayo inakuja huko.lakini sawa nyumbani kwanza...
 
Bora kihame maana mishahara inaweza kukutana lol
 
Why kila kitu Pwani? Kigoma? Tabora? Aaaargh! Kikwete wewe, CCM nyie
 
kwa nini? Wasikilete musoma..daah hii serikali ye2..kila rais anavutia kwake...ila nyerere na sera yake ya undugulization hovyo kabisa...angelimbikiza kila kitu musoma hope tungekuwa tunakimbiza..kwa sasa
 
Kazi ipo! japo sijabahatika kufuatilia hiyom habari kwa undani, hii nadhani itaathiri sana wale wenye mipano ya kusoma baada ya kutoka kazini. Kuna baadhi ya watu wanasoma hivi vyuo sio kwa sababu ni chaguo lao ila tu kwa kua vinafikika kirahisi kutoka maeneo yao ya kazi.
 
Bora watu wasome na kuondoa matongo tongo ya shule za kata...ubize uliopo mjini kuna wengine wanaambulia vyeti ila vichwani hakuna kitu
 
kwa nini? Wasikilete musoma..daah hii serikali ye2..kila rais anavutia kwake...ila nyerere na sera yake ya undugulization hovyo kabisa...angelimbikiza kila kitu musoma hope tungekuwa tunakimbiza..kwa sasa

Hiko ndo kinachoshangaza.
HAKUENDELEZA KWA WENZIE,HATA KWAKE!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…