Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale wa blended wawe na uwezo wa kujipakulia na kusoma.
Lakini baada ya kuchukua ada zetu simu zao wakawa hawapokei zaid ya hapo hakuna video wanazoweka, mkiwapigia sana malecture wanawawekea kivideo cha dakika mbili then assignment.
Huu ni wizi wa mchana kwanini mimi nilipe 4.4mil sawa na mtu anaesoma fulltime then usinifundishe usubirie tufeli. Waziri anatakiwa achungulie hili swala ikiwezekana kifungwe kwa wizi.