chuo cha kampala K.I.U chapunguza ada zake.

chuo cha kampala K.I.U chapunguza ada zake.

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Chuo cha kampala kimepunguza ada zake kwa kiwango kikibwa mno kuzidi ata vyuo vingine vya serikali. Habari nilizopewa na mwanafunzi mmoja wa chuo icho amesema sasa atalipa sh laki 4 za Kitanzania kwa semester na sio laki 9 kwa Semester kama ilivyokua awali .
 
itakuwa wamekosa watu. Mimi hata bure siendi bora nikae bila kusoma
 
Je sakata la kufungiwa kutoa shahada za Uzamili na Uzamivu limefikia wapi..huku sio kuwala watanzania???
 
I can see it as part of marketing strategies, are they able to deliver good quality of education at that price?
 
vyuo vingine sijui vikoje any way atulingani kibrain na kifedha.
 
Hawa nao bora wangerudi tu kwao maana hapa wameshajiharibia image yao kwa kiasi kikubwa sana!
 
Hiki chuo ni "BOGUS UNIVERSITY" though kimesajiliwa na TCU wakati fulani mdogo wangu alikuwa anasoma pale, nikawa naangalia course outline yao duuh nikagundua hawa jamaa wapo TZ kimagumashi fikiria course outline ina topic 2 tu kwa semester nzima. hakuna reference sections za wanafunzi kwenda kujisomea. sasa mitihan/matokeo ndo usiseme ni A mfululizo duuh nkajiuliza ni kweli dogo wangu bright kiasi hiki? alikuwa na kozi 7 zote kapiga A!!! In Short KIU ni kimeo hata kusajiliwa kwake na TCU ni ama wamehonga au wamejificha kwa mwamvuli wa EAC (Jumuiya ya Afrika Mashariki)
 
Back
Top Bottom