Hiki chuo ni "BOGUS UNIVERSITY" though kimesajiliwa na TCU wakati fulani mdogo wangu alikuwa anasoma pale, nikawa naangalia course outline yao duuh nikagundua hawa jamaa wapo TZ kimagumashi fikiria course outline ina topic 2 tu kwa semester nzima. hakuna reference sections za wanafunzi kwenda kujisomea. sasa mitihan/matokeo ndo usiseme ni A mfululizo duuh nkajiuliza ni kweli dogo wangu bright kiasi hiki? alikuwa na kozi 7 zote kapiga A!!! In Short KIU ni kimeo hata kusajiliwa kwake na TCU ni ama wamehonga au wamejificha kwa mwamvuli wa EAC (Jumuiya ya Afrika Mashariki)