Chuo cha KCMC cha futiwa mikopo

Chuo cha KCMC cha futiwa mikopo

kanje.

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
35
Reaction score
3
wanafunzi wa chuo cha sayansi na tiba KCMC kwa kozi za nesing na maabara wamefutiwa mkopo takribani nusu ya ada yote inayotakiwa kulipwa chuoni hapa yani ipo hivi kwa wanafunzi wa mwaka wa pili walitakiwa waletewe kiasi cha milioni 2 nalaki 6 kama ada ya mwaka mzima lakini kwa sasa bodi ya mikopo imeamua bila sababu zenye msingi kuipunguza hii ada hadi kufikamiloni 1 nalaki7 kwa wanafunzi wa maabara na milion 1 na laki 5 kwa wanafunzi wa nesing. hili limewaathiri wanafunz wa KCMC peke yao na sio vyuo vingine vikiwemo Bugando IMTU ambavyo ni vyuo vya watu binafsi kwa punguzo hili mwanafunzi anatakiwa kutop up laki 9kwa kozi ya maabara na milioni 1 na laki1 kwa kozi ya nesing tusaidieni wadau tufanyeje ili tusome? au tuache shule?
 
Jamani mwanachuo!

Mbona una shida kubwa hivi ya kuandika Kiswahili? Matumizi adimu ya vituo (.,), herufi kubwa, sentensi, aya n.k. yameufanya uzi wako usivutie kuusoma.
 
Bodi ya mikopo ni janga la taifa. Vichwa ngumu
 
Jaribuni kuwasiliana vizuri na bodi. Sijaelewa, je unaposema "Bila sabau za msingi una maanisha nini"? Bodi inapaswa kujulisha umma.
 
Back
Top Bottom