Chuo cha KCMUCo chaongeza ada kwa zaidi ya asilimia 40 bila idhini ya TCU

Chuo cha KCMUCo chaongeza ada kwa zaidi ya asilimia 40 bila idhini ya TCU

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Chuo cha udaktari cha KCMC kijulikanacho kama Kilimanjaro Christian Medical University College kimeongeza ada ya mafunzo(Tuition fee) bila idhini ya TCU.TCU ndio wanatoa mwongozo wa ada kwa kila chuo.Je ni sahihi wanafunzi kulipa ada ambayo haijaidhinishwa?.Je hatua gani za kufata ili kuhakikisha ada haipandi mpaka Students costs zitoke?
 
Makanisa nayo yamejanjaluka, wezi kama wezi wengine. Hakuna cha Yesu wala Mohamed!
 
Hapo solution iliyopo niku work closely na tcu sababu nadhan tcu ina sheria ambazo inakibana chuo kutopandisha ada bila kuzingatia taratibu
 
Hatua pekee ya kufuata ni kumwona Waziri wa Elimu ili atoe tamko kuhusu uzuiaji wa upandaji huu wa ada kiholela hasa ktk chuo chenu, serikali imeleta mfumo huu wa ada elekezi ili kudhibiti upandaji wa ada kiholela na kuzuia taasisi za elimu ya juu kutotegemea ada ktk uendeshaji wa shughuli zake.
 
Back
Top Bottom