GIBA KB
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 367
- 110
Chuo cha udaktari cha KCMC kijulikanacho kama Kilimanjaro Christian Medical University College kimeongeza ada ya mafunzo(Tuition fee) bila idhini ya TCU.TCU ndio wanatoa mwongozo wa ada kwa kila chuo.Je ni sahihi wanafunzi kulipa ada ambayo haijaidhinishwa?.Je hatua gani za kufata ili kuhakikisha ada haipandi mpaka Students costs zitoke?