Chuo cha Kibaha na Lugalo kuna kipi cha tofauti na vyuo vingine?

Chuo cha Kibaha na Lugalo kuna kipi cha tofauti na vyuo vingine?

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
74
Natanguliza shukrani wakuu,

Hivi n kwa nini idadi ya waombaji wengi katika vyuo tajwa hapo juu uwa inakuwa kubwa kuliko vyuo vingine, kila mwaka,wenye kuvijua vizuri vyuo hivi atoe mwongozo.
 
Vyuo gani ambavyo umeona waombaji ni wachache kulinganisha Lugalo pamoja na Kibaha? ambavyo vina waombaji wengi.
Kilosa, Tanga, Lindi, Mtwara, na vingne vingi
 
Vina competition,Wanao pewa kipaombele ni walio maliza form four hivi karibuni 2021,2020.2014 akiomba sidhani kama atapata kulinganisha na hivyo vyuo vingine,Sidhani kama Wana angalia pass kwenye masomo ya sayansi kwamba uwe na "D" 4 nafikiri kuanzia B,C,A,Jumlisha kuna form four walio omba Moja Kwa Moja wenyewe hawakuomba kwenda form five. Ko lazima idadi iwe ndogo Kwa waombaji
Nimekupata mkuu
 
Kibaha na Lugalo vipi mjini na watu wengi hupenda kusoma ndani au karibu na DSM
 
Back
Top Bottom