Chuo cha Kibaha na Lugalo kuna kipi cha tofauti na vyuo vingine?

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
74
Natanguliza shukrani wakuu,

Hivi n kwa nini idadi ya waombaji wengi katika vyuo tajwa hapo juu uwa inakuwa kubwa kuliko vyuo vingine, kila mwaka,wenye kuvijua vizuri vyuo hivi atoe mwongozo.
 
Vyuo gani ambavyo umeona waombaji ni wachache kulinganisha Lugalo pamoja na Kibaha? ambavyo vina waombaji wengi.
Kilosa, Tanga, Lindi, Mtwara, na vingne vingi
 
Nimekupata mkuu
 
Kibaha na Lugalo vipi mjini na watu wengi hupenda kusoma ndani au karibu na DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…