Tuko JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 11,180 Reaction score 7,346 Feb 24, 2013 #1 Kuna wakati nilikuwa naona matangazo kwenye tv kuhusu kuwepo kwa chuo cha kilimo Dar... Naomba mwenye details za chuo hicho anipe tafadhali...
Kuna wakati nilikuwa naona matangazo kwenye tv kuhusu kuwepo kwa chuo cha kilimo Dar... Naomba mwenye details za chuo hicho anipe tafadhali...
Ilu JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,198 Reaction score 1,648 Feb 24, 2013 #2 kuna chuo cha kilimo kigamboni nimesahau jina lake nitakujuza soon.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Feb 25, 2013 #3 Kinigine kipo Bagamoyo ila kina malumbano kati ya mwendeshaji Bujugo na mwenyekiti ya jumhiya ya wazazi ya ccm
Kinigine kipo Bagamoyo ila kina malumbano kati ya mwendeshaji Bujugo na mwenyekiti ya jumhiya ya wazazi ya ccm