Chuo cha Lehigh chabatilisha degree ya heshima iliyompa Trump miaka 30 iliyopita

Chuo cha Lehigh chabatilisha degree ya heshima iliyompa Trump miaka 30 iliyopita

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Tangazo hilo linakuja siku mbili baada ya Rais Trump kuhamasisha wafuasi wake kuvamia bunge na jinsi watunga sheria walivyoshinikiza kuondoka kwake.

Kulingana na gazeti la wanafunzi, kumekuwa na mashinikizo ya kubatilisha shahada ya heshima ya Trump kutoka kwa wafanyakazi, wanafunzi wa sasa na waliopita kwa miaka mitano sasa.

"Jana tulishuhudia vitendo vya kutisha kwenye msingi wa demokrasia yetu" Alisema Simon kwenye taarifa yake baada ya shambulio.

======

Lehigh University has rescinded the honorary degree it awarded to President Donald Trump more than 30 years ago. The announcement came two days after the president encouraged a mob of his supporters who stormed the Capitol, and as lawmakers pushed for his ouster.

"In a special session Thursday of the Executive Committee of the Lehigh University Board of Trustees, the members voted to rescind and revoke the honorary degree granted to Donald J. Trump in 1988," Lehigh, a private university in Bethlehem, Pennsylvania, announced in a brief statement Friday. "The full Board of Trustees affirmed the decision today."

A spokesperson for Lehigh told CBS News that the university has no further comment beyond the statement.

According to the university's student newspaper, there have been several recent petitions to rescind Mr. Trump's honorary degree, the latest of which was created on November 5. One professor, Dr. Jeremy Littau, tweeted that the Board of Trustees has been facing pressure from faculty, staff, students and alumni to revoke the degree for five years.

While the university did not elaborate on its decision to rescind the honor, President John D. Simon said on Thursday that "we have much work to do" to unify the country.

"Yesterday we witnessed a violent assault on the foundations of our democracy — the abiding respect for the will of the people exercised in a free election and the peaceful transfer of power," Simon said in a statement after the attack. "I sincerely hope we can turn the sadness and anger that the lawlessness in our nation's capital has evoked into motivation to make our nation ore just. I trust that it will inspire us to redouble our efforts to unite our country and encourage the peaceful pursuit of governance, guided by truth and reason."

The statement received pushback on social media, where students and staff pushed for the degree to be rescinded.

Mr. Trump's late brother, Frederick Trump Jr., was a graduate of Lehigh. The university invited the president to speak at its commencement in 1988, awarding him the honorary degree.

On Wednesday, hundreds of Trump supporters breached the U.S. Capitol, forcing the building into lockdown and delaying the certification of President-elect Joe Biden's victory. Countless politicians have condemned the assault as domestic terrorism. Five died as a result of the violence and dozens have been arrested.

CBS News
 
Kama Marekani kusingekuwa na Mifumo imara naamini kabisa TRUMP angefanya upuuzi mwingi sana. Faida za kuwa na mifumo imara ni kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuvuruga taifa kwa sababu ya tamaa zake bila kuddhalilika.

TRUMP AMEJIDHALILISHA SANA
 
Ifike mahali hata huku Afrika, tuwafutie hizo degree za heshima za kinafiki wanazo limbikiziwa viongozi wetu.

Mtu anapewq degree ya juu ya heshima ya utaeqla bora, uchaguzi ukifika naiba kura kuendelea kuwa madarakani au anabadili katiba aendelee kudumu madarakaani, viongozi kama hawa lazima kuwafutia degree zao za heshima ili kuonyesha jamii kwamba wamekosa hadhi ya kuendelea kuzishikilia degree hizo.
 
Japo na huko wana matatizo kama sisi, ila walau tunaona taasisi kubwa kama vyuo kuonesha hali yakutopendezwa na yanayoendelea, inaonekana wanaijali nchi yao kuliko.
 
Ifike mahali hata huku Afrika, tuwafutie hizo degree za heshima za kinafiki wanazo limbikiziwa viongozi wetu.

Mtu anapewq degree ya juu ya heshima ya utaeqla bora, uchaguzi ukifika naiba kura kuendelea kuwa madarakani au anabadili katiba aendelee kudumu madarakaani, viongozi kama hawa lazima kuwafutia degree zao za heshima ili kuonyesha jamii kwamba wamekosa hadhi ya kuendelea kuzishikilia degree hizo.
Kwa Afrika sahau kuhusu hilo.

Hao wanaotoa shahada za heshima uko vyuoni kutwa kujipendekeza kwa mkulu wapate teuzi.

Kwa mfano muangalie yule profesa wa jalalani alivyokidhalilisha chuo kikuu cha mlimani kisa tu teuzi.

Halafu unategemea mtu kama uyo ndo afute shahada ya heshima.
 
Kama Marekani kusingekuwa na Mifumo imara naamini kabisa TRUMP angefanya upuuzi mwingi sana.Faida za kuwa na mifumo imara ni kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuvuruga taifa kwa sababu ya tamaa zake bila kuddhalilika.TRUMP AMEJIDHALILISHA SANA
Kwa kweli inaleta ladha kuona nchi inaendeshwa kwa MIFUMO MAHIRI na TAASISI MADHUBUTI.

Ukileta ulevi mifumo inakushughulikia automatically!

Systems are very smooth and super effective.

Sio kama huko Tanganyika, mambo yanaenda kichokoraa chokoraa!
 
Kwa kweli inaleta ladha kuona nchi inaendeshwa kwa MIFUMO MAHIRI na TAASISI MADHUBUTI...
Lisu na Amsterdam kwenye hilo la Donald Trump mbona wako kimya wameufyata Hawatoi yako lolote kulikoni?
 
Isu uwezo wake wa kufukiri unaishia kwa vijana wa Ufipa
Lisu na Amsterdam kwenye hilo la Donald Trump mbona wako kimya wameufyata Hawatoi yako lolote kulikoni?
 
Kama Marekani kusingekuwa na Mifumo imara naamini kabisa TRUMP angefanya upuuzi mwingi sana.Faida za kuwa na mifumo imara ni kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuvuruga taifa kwa sababu ya tamaa zake bila kuddhalilika.TRUMP AMEJIDHALILISHA SANA

Jamaa lilitaka kuwa kama Rais Putin wa Russia, kama Kim wa North Korea, Ayatollah Khemei wa Iran, Sultan wa Saudi Arabia au kama aliyekuwa Emperor Jean Bokassa wa Central African Republic, Mussolini wa Italia!shame/aibu.
 
Ifike mahali hata huku Afrika, tuwafutie hizo degree za heshima za kinafiki wanazo limbikiziwa viongozi wetu.

Mtu anapewq degree ya juu ya heshima ya utaeqla bora, uchaguzi ukifika naiba kura kuendelea kuwa madarakani au anabadili katiba aendelee kudumu madarakaani, viongozi kama hawa lazima kuwafutia degree zao za heshima ili kuonyesha jamii kwamba wamekosa hadhi ya kuendelea kuzishikilia degree hizo.
Naunga mkono hoja.
 
Kama Marekani kusingekuwa na Mifumo imara naamini kabisa TRUMP angefanya upuuzi mwingi sana.Faida za kuwa na mifumo imara ni kwamba hakuna mwenye uwezo wa kuvuruga taifa kwa sababu ya tamaa zake bila kuddhalilika.TRUMP AMEJIDHALILISHA SANA

Ila mimi ninamuona Trump kama rais bora kabisa kuwahi kutokea Marekani,jamaa ni mzalendo sana kwa taifa lake. Watakuja kumkumbuka muda sio mrefu.
 
Back
Top Bottom