Mchokozi wa mambo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 201
- 159
poa asante
halafu hivi wale vigezo vya diploma na certificate mbona km vinafanana au mie sjaelewa?
Pale wanasoma kuanzia level 4 hadi 6 hvyo huwezi ruka level labda uwe ulisha isoma au ulipita sehem nyingine ambayo level yake iko equivalent na zao lakini kama bado ni lazima usome kuanzia level 4 that's why vigezo vyao vinafanana sijui kama umenipata
Kwa hyo hakuna shida mtu mwenye elimu ya form 4 akiomba akatick diploma kwa kuwa atasoma zote humo humo miaka mitatu? Au lazma wa form 4 achague level 4?
Hakuna shida hata kidogo sababu mantiki ya chuo hiki kilikuwa kwa ajili ya form 4 leaver awe tu na pass mark kuanzia D kwa masomo ya PCM + geography + English hata kwa aliyemaliza form 6 awe na angalau principle 1 na kwa wale ambao wamesoma veta.
Na katika kuchagua level kama hujawahi soma level or some equivalent elimu inayotoka pale lazima uanze level 4.
sijui kama umenipata The Dude
Wish all the best to younimekupata.Ngoja tusubirie. Halafu jina lako linaonesha ulikuwa unapenda sana katuni! Umenikumbusha wale character Ed,Edd and Eddy.