Chuo cha madini dodoma kwa anaefahamu

Chuo cha madini dodoma kwa anaefahamu

Mchokozi wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
201
Reaction score
159
Msaada wadau mwenye taarifa ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda kufanya MATRICULATION chuo cha madini Dodoma, naomba anijuze maana walisema wanatoa mtandaoni tarehe 30/5/2014 lakini mpaka sasa bado
 
Muda wa kuapply umesogezwa mbele hvyo majina yatatangazwa had tar 16 mwez wa cta mi pia mwombaji!
 
Oya na mini nimeappy pale MRI so ntumie namba yako ya kwangu ni 0763886418
 
halafu hivi wale vigezo vya diploma na certificate mbona km vinafanana au mie sjaelewa?

Pale wanasoma kuanzia level 4 hadi 6 hvyo huwezi ruka level labda uwe ulisha isoma au ulipita sehem nyingine ambayo level yake iko equivalent na zao lakini kama bado ni lazima usome kuanzia level 4 that's why vigezo vyao vinafanana sijui kama umenipata
 
Kwa hyo hakuna shida mtu mwenye elimu ya form 4 akiomba akatick diploma kwa kuwa atasoma zote humo humo miaka mitatu? Au lazma wa form 4 achague level 4?
 
Hakuna shida hata kidogo sababu mantiki ya chuo hiki kilikuwa kwa ajili ya form 4 leaver awe tu na pass mark kuanzia D kwa masomo ya PCM + geography + English hata kwa aliyemaliza form 6 awe na angalau principle 1 na kwa wale ambao wamesoma veta.
Na katika kuchagua level kama hujawahi soma level or some equivalent elimu inayotoka pale lazima uanze level 4.
sijui kama umenipata The Dude
 
Last edited by a moderator:

nimekupata.Ngoja tusubirie. Halafu jina lako linaonesha ulikuwa unapenda sana katuni! Umenikumbusha wale character Ed,Edd and Eddy.
 
Wish all the best to you
Hii ni mpaka leo niko addicted na katuni na hii katuni naikubali sana
 
Back
Top Bottom