CHUO CHA MIPANGO DODOMA ni michosho tupu

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
13,383
Reaction score
11,197

ilishakuja thread hapa JF kuwa IT ya Chuo hiki haiko makini hasa katika kutoa Matokeo ya Wanachuo
Leo nimeamini kabisa kwani, matokea yanatoka mara mbilimbili licha ya kutanguliwa na Supplimentary zilizokuwa na utata
Yaani Mwanangu kaandikiwa SUPP 2 kwenye Mtandao baada ya kufika Chuoni kakuta SUPP 4 na kuingia kwenye Mtandao ni kweli 4
Leo matokeo wanatoa kwenye link 2 Namba za watahiniwa zilezile lakini matokeo ni tofauti
Tafadhalini MUJIHADHARI watoto wetu wakichukua uamuzi kama wa wale wa Form 4, kuambiwa wamefeli Div. 0 wakajiua baadaye mnarekebisha kuwa marehemu alikuwa na Div III ni UUAJI ambao maliopo yake sio hayo ya kumtoa Ndalichako Baraza la Mitihani, au Waziri wa Elimu kutojiuzulu
Annual Examination Results for Finalist 2012/2013
Annual Examination Results for Continuing Students 2012/2013
SASA NI IPI iko sahihi
Update:
Kuhusu hayo matokeo nimeshafahamishwa kumbe ni namba zinafanana za mitihani kuanzia Diploma hadi Certificate km upo Dip kwa Namba IRDP/DDP/EX 2700 na Certificate ni IRDP/CRP/EX 2700
Na kwa vile malalamiko yalishatolewa kuhusu ukamilifu wa huo utaratibu wao wa IT ndio nikasema wangeanza kurekebisha mitindo yao hakuna sababu ya kuzirejea namba
SAMAHANINI KWA USUMBUFU
 
majanga kwel ELIMU HII YA TZ itafika sehem degree kufananixhwa na iv tuwe MAKINI
 
ilishakuja thread hapa JF kuwa IT ya Chuo hiki haiko makini hasa katika kutoa Matokeo ya Wanachuo
Leo nimeamini kabisa kwani, matokea yanatoka mara mbilimbili licha ya kutanguliwa na Supplimentary zilizokuwa na utata
Yaani Mwanangu kaandikiwa SUPP 2 kwenye Mtandao baada ya kufika Chuoni kakuta SUPP 4 na kuingia kwenye Mtandao ni kweli 4
Leo matokeo wanatoa kwenye link 2 Namba za watahiniwa zilezile lakini matokeo ni tofauti
Tafadhalini MUJIHADHARI watoto wetu wakichukua uamuzi kama wa wale wa Form 4, kuambiwa wamefeli Div. 0 wakajiua baadaye mnarekebisha kuwa marehemu alikuwa na Div III ni UUAJI ambao maliopo yake sio hayo ya kumtoa Ndalichako Baraza la Mitihani, au Waziri wa Elimu kutojiuzulu
Annual Examination Results for Finalist 2012/2013
Annual Examination Results for Continuing Students 2012/2013
SASA NI IPI iko sahihi hiyo annual exam result for Finalist 2012 - 2013
au hiyo ya annual-examination-results-for-continuing-students-2012-2013
na ipi imetangulia? huyo Mtaalamu wa IT awe anafafanua au anaondoa isiyohusika, Mtatuulia watoto wetu

Sawa Mzee. Pole sana. Wakati unataka mabadiliko katika Ngazi za Chuo/Taifa, anza kwanza na Mwanao. SUPP 4? Seriously, hata kama ni kati ya Masomo 40, Dogo anastahili kuwajibishwa kwa uzembe! Ikiwezekana viboko kadhaa vya makalio!
 
JIBU SWALI usiwe km Mulugo au ndio kakutuma? maana akili yako ni kumcharaza viboko, wakati kafaulu na makosa yapo IT
na nimekupa mifano kuna watoto wamejiua kwa kupewa matokeo fake, na haya sasa mwanangu hakuwa na supp lakini ujibu kwanini kuna Matokeo aina 2?
sio kucharaza viboko vya Mulugo wakati mna akiliza kushikiwa fungua hizo Link au acha waje wenyewe walioziweka alkini kuja kujaza post sio Hekima saidia na wanaoumia

Annual Examination Results for Finalist 2012/2013
Annual Examination Results for Continuing Students 2012/2013
SASA NI IPI iko sahihi hiyo annual exam result for Finalist 2012 - 2013
au hiyo ya annual-examination-results-for-continuing-students-2012-2013
 
Mipango siyo MATUMIZI, kwanini ulimpeleka hapo mkuu?

Mkuu nimekuelewa, ila ni Ndugu yangu ndio alinikabidhi Bint yake nimpeleke hapo na kwa vile ni jirani? nakaamini hawezi kosa hata kazi ya Utendaji kata au Mtaa ili huko mbele afunguke kimaisha

Kuhusu hayo matokeo nimeshafahamishwa kumbe ni namba zinafanana za mitihani kuanzia Diploma hadi Certificate km upo Dip kwa Namba IRDP/DDP/EX 2700 na Certificate ni IRDP/CRP/EX 2700
Na kwa vile malalamiko yalishatolewa kuhusu ukamilifu wa huo utaratibu wao wa IT ndio nikasema wangeanza kurekebisha mitindo yao hakuna sababu ya kuzirejea namba
 
jamani huyu mtoa mada amekurupuka na anahemea mipira chezea irdp wewe,GPA HAISOMI ANATAPA TAPA TU HAPO
 
Mkuu nimekuelewa, ila ni Ndugu yangu ndio alinikabidhi Bint yake nimpeleke hapo na kwa vile ni jirani? nakaamini hawezi kosa hata kazi ya Utendaji kata au Mtaa ili huko mbele afunguke kimaisha

Kuhusu hayo matokeo nimeshafahamishwa kumbe ni namba zinafanana za mitihani kuanzia Diploma hadi Certificate km upo Dip kwa Namba IRDP/DDP/EX 2700 na Certificate ni IRDP/CRP/EX 2700
Na kwa vile malalamiko yalishatolewa kuhusu ukamilifu wa huo utaratibu wao wa IT ndio nikasema wangeanza kurekebisha mitindo yao hakuna sababu ya kuzirejea namba
duh iko chuo kijipange sana kama IT haiko stable wasichukue wanafunz
 
Back
Top Bottom