Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

jefas

Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
10
Reaction score
5
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja
 
kama umeshindwa kusoma private nenda vyuo vya goverment, ambako unahisi wanafaidi kwa vitabu vya kutosha,
mods peleka hii kule jukwaa la elimu
cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
Mbona hiyo ni halisi katika vyuo vyetu takribani vyote! Usishangae, nenda hata UDSM!
 
Unaifahamu hali halisi ya vyuo vya serikali ndugu? Fanya pia utafiti.
 

Nunua vitabu vyako.
 
Muhas watu walikuwa wanaficha vitabu sembuse St. Augustine.....Tena inaweza ikawa hali ni mbaya zaidi kwa vyuo vya Public kuliko private....
 
Unaifahamu hali halisi ya vyuo vya serikali ndugu? Fanya pia utafiti ndo uje humu kulialia. Nakushauri uwe unajinunulia pia vitabu. Hakuna chuo tz chenye vitabu curent na vya kutosha
 
Huyu amekosa mkopo ndio anapiga kelele.nenda ukasome vyuo vyako vya public udom na udsm.tuliosoma vyuo private vya kidini tunajua raha zake,sema tcu ndio imetujazia watu type yako private.
 
Unapenda kuweka heshima bar tu! Jinunulie vitabu, AINA YA WASOMI WETU!!!! SAUT ni bora zaidi. Nenda UDOM....Nyambafu!
 

Sio SAUT tu, udsm, mzumbe watu wanaficha vitabu kwenye namba tofauti yeye mwenyewe ndio anajua kikowapi. Wengine wanachana zile kurasa zenye topic husika. Vyuo noma
 
ACHA UONGO WEWE! MIE NIKO HAPA SAUT KWA MUDA MREFU. NAHISI TANZANIA, CHUO CHENYE LIBRARY KUBWA ILIO SHEHENI VITABU NI SAUT MWANZA. TATIZO LAKO KABLA YA MITIHANI KUFIKA MUDA WOTE UKO BAA; na MMEJENGA TABIA YA KUTOSOMA VITABU ILA LECTURE NOTES ZAKO NDO UNACHUKUA UNAENDA NAZO LIBRARY KUSOMA AFU ETI UNAJIITA MSOMI, MTIHANI UMEFIKA NDO UNATAFTA VITABU!! USHAURI: KUNA ONLINE BOOKS KWENYE COMPUTER ZOTE ZA SAUT, KAMA HUJUI KUTUMIA ULIZA LIBRARY ATTENDANT WATAKUELEKEZA JINSI YA KUTUMIA. KTK ENZI HIZI ZA DIGITAL HAINA HAJA KUWA NA SHELVES NYINGI. NENDA NA FLASH YAKO WATAKUWEKEA VITABU UNAVYOTAKA NA UTAJISOMEA ROOM KWAKO. BWANA YESU AFISIWE.
 
Wewa umesoma ulaya nini? Mbona mambo ya kawaida TZ, kwani chuo gani unachokijua kuna reff za kutosha?
 
Unapenda kuweka heshima bar tu! Jinunulie vitabu, AINA YA WASOMI WETU!!!! SAUT ni bora zaidi. Nenda UDOM....Nyambafu!

kijana ktk dunia ya leo ya DIGITAL ni aibu kwa wewe unayejiita msomi kulalamikia vitabu ni dhahiri hujui kutumia keyboards labda utoe sababu nyingine sio hiyo kwani ni aibu kwako.
 
Kwa wanaotaka kujua libraly ya sauti inaghorofa nne ni kubwa kuliko unavyofikilia km upungufu ni mdogo sana sio kama unavyodanganya wanajamii
 
vijana tuache kulalamika ebu tujaribu kubadili fikra zetu,tutoe majawabu ya haya unayolalamikia. Wewe unajiita Msomi hivi huna fikra nyingine ya kutatua tatizo dogo kama hilo mpaka ukaleta hilo suala hapa JF,hebu achane uvivu wa kufikiri jamani.
 
kijana jaribu kuwa na uhalisia unaposoma katika vyuo vya nchi zinazoendelea kama Tz.
Ushauri wangu kwako; WAPASWA KUTUMIA BUMU LAKO KUNUNULIA VITABU NA SI KWA ANASA KAMA VILE MAVAZI YA GHARAMA, VILEVI N.K.
UKIWA UNAENDA CHUO BAADA YA LIKIZO BEGI LAKO LATAKIWA ROBO TATU NI VITABU NA ROBO NI NGUO.
 
Naona tripu za Villa zilikubana hadi ukasahau kuwa umekwenda chuo kusoma. Manadani majani huwa ni tatizo siku nyingine usipende kulisha ng'ombe siku ya mnada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…