Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

kwa wanaotaka kujua libraly ya sauti inaghorofa nne ni kubwa kuliko unavyofikilia km upungufu ni mdogo sana sio kama unavyodanganya wanajamii

kaka ukubwa wa library usikutishe, hata udom library ni kubwa, cha msingi ni je, kuna relevant books kwa hizo kozi zenu? Kusiwe na vitabu vya chekeche msaada wa usaid na eu alafu ukasema kuna vitabu vingi. Ukubwa wa pua.............................................................................
 
vijana tuache kulalamika ebu tujaribu kubadili fikra zetu,tutoe majawabu ya haya unayolalamikia. Wewe unajiita Msomi hivi huna fikra nyingine ya kutatua tatizo dogo kama hilo mpaka ukaleta hilo suala hapa JF,hebu acheni uvivu wa kufikiri jamani.
 
acha uongo wewe! Mie niko hapa saut kwa muda mrefu. Nahisi tanzania, chuo chenye library kubwa ilio sheheni vitabu ni saut mwanza. Tatizo lako kabla ya mitihani kufika muda wote uko baa; na mmejenga tabia ya kutosoma vitabu ila lecture notes zako ndo unachukua unaenda nazo library kusoma afu eti unajiita msomi, mtihani umefika ndo unatafta vitabu!! Ushauri: Kuna online books kwenye computer zote za saut, kama hujui kutumia uliza library attendant watakuelekeza jinsi ya kutumia. Ktk enzi hizi za digital haina haja kuwa na shelves nyingi. Nenda na flash yako watakuwekea vitabu unavyotaka na utajisomea room kwako. Bwana yesu afisiwe.

vitabu vyaweza kuwa vingi, je, ni relevant kwa kozi yako?
 
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja

Acha kulalama amia Kenya,Uganda,Burundi na Rwanda kwenye elimu unayoitaka,wakati wao wanatamani waje kusoma kwetu.Hakuna chuo chenye vitabu vya kutosha kama unabisha fanya utafiti wa kina.
 
Hata kugoogle uwezi ujafundishwa jinsi ya kupata nondo kutoka tehama,pia kaela unakopata unatunza unanulia vitabu sio lazima chuo kikunulie kila kitu.
 
Jitambue Kijana usiropoke tu , kama vitabu havipo Kanunue Bookshops vimejaa kama huweza kuingia kwenye mitandao kusearch vitabu . Acha ulevi na Uasherati hivyo utavipata ukimaliza kilichokutuma chuoni
 
Kama kuna maktaba na hela mnalipa waambieni wawawekee vitabu. Mbona vyuo vingine vina maktaba na vitabu vya kutosha
 
Mleta mada acha kupotosha watu kama kuna chuo ina vitabu ni pamoja na SAUT mi mwenyewe nipo nafanya masters niambie pale mgulunde kuna kitabu hakipo we ukale bata wakati wa eu ndo unashtuka?mods mleta mada kadanganya
 
Oooh MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA...Ndicho kinafundisha mtoa hoja awe pia muunga mkono?
 
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja

Hapo kwa wekundu wa msimbazi kuna shida
 
Mleta mada acha kupotosha watu kama kuna chuo ina vitabu ni pamoja na SAUT mi mwenyewe nipo nafanya masters niambie pale mgulunde kuna kitabu hakipo we ukale bata wakati wa eu ndo unashtuka?mods mleta mada kadanganya

Aende kwa librarian wafuatao watamsaidia Masawe, Chilato, Doroth
 
Kwa wanaotaka kujua libraly ya sauti inaghorofa nne ni kubwa kuliko unavyofikilia km upungufu ni mdogo sana sio kama unavyodanganya wanajamii

Kuwa na gorofa nne ndo library kubwa? Empty mind
 
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja

Uandishi wako tu unaonyesha usivyo na uelewa. Chuo gani chenye nakala nyingi za vitabu kwa title moja tu?! Kwanza ilikupasa kushukuru kuwa hizo recommended books zipo ila hazitoshi. Ni juu yako sasa kama mwanafunzi makini kutafuta nakala zako mwenyewe uweke katika library yako. Usitegemee library itakuwa na nakala ya title moja kwa wanafunzi wote. Wewe hujui kuwa kuna book allowance ambazo mwanafunzi lazima awe nazo kujinunulia vitabu vyake? Kama huwezi kujinunulia vitabu vyako basi nenda katoe photocopy. Kuandika upuuzi huu mtandaoni kumetupa nafasi ya kukujua jinsi ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri na kujua taaluma katika ngazi ya chuo kikuu.
 
We utakua unashinda makoroboi,club lips na villa!SAUT haina upungufu wa vitabu ki hivyo kama vyuo vingine bwana!
 
publik relation na jonalism! Hehehe hata hivyo vitabu vingekuwepo 6 kwa kila mmoja sijui kama ungeelewa hata ukisoma!
 
ndio madhara ya kupost mada bila kutafit
nadhani majibu uliopewa yamekutosha
nenda kasome acha uvivu na starehe.
vyuo vyote vitabu wanashea.
 
Utakosaje kitabu wakati uktafuta google unapata material na reference za kutosha. Usi COPY na KUPEST lakin.
 
Back
Top Bottom