Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo hamujiamini mukiwaa class alafu waliofel wote ndio wanaenda kusoma nje
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja