Chuo cha Mwalimu Nyerere kuhamishiwa Tawi la Zanzibar hutumiwa kama adhabu?

Uzalendi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
221
Reaction score
15
Wabaya wa Uongozi wa Chuo huhamishiwa huko kama adhabu kwa kuwa wanahoji ufisadi unaofanyika. Hata kama watoto wako shule hupewa barua ghafla ya kutakiwa kuhamia Zanzibar mara moja. Kama unasoma huhamishiwa hiko ili ukwame kusoma ili ubaki palepale kielimu. Wafanyakazi wengine wamehamishwa kwa nia ya kuwapa adhabu na kuamua kuacha kazi. Chuo hiki hutangaza nafasi za muda kila wakati na imekuwa mradi wa wakubwa kupata posho ya vikao. Wadau karibuni kwa ushuhuda na kuchangia mada.
 
Duu hii kali ya mwaka, kwani huko kuna nini hadi iwe sehemu ya kuhamishiwa kama adhabu.
 
Kipindi cha mfungo hakuna kula ovyo ovyo na ukikaidi unakula mkong'oto, vyakula pia bei juu huko Zanzibar.
 
Huyu jamaa bado anahaha tu na Chuo cha Mwl Nyerere?kwani walikukosea nini?maana kama kuwasakama umeshawasakama sana!wamesikia na ujumbe utakuwa umefika sasa!jipange uanze upya......!
 
Kwa kuwa wewe ni kibaraka wao utawafikishia ujumbe, na wewe utafakari nyendo zako za ukuadi wa maovu bila aibu.
Huyu jamaa bado anahaha tu na Chuo cha Mwl Nyerere?kwani walikukosea nini?maana kama kuwasakama umeshawasakama sana!wamesikia na ujumbe utakuwa umefika sasa!jipange uanze upya......!
 
Acha kutumika kama kondom, toa hoja kwa kukanusha yanayoongelewa au funga bakuli lako, nakuhurumia kwa mawazo mgando popo wee.
Huyu jamaa bado anahaha tu na Chuo cha Mwl Nyerere?kwani walikukosea nini?maana kama kuwasakama umeshawasakama sana!wamesikia na ujumbe utakuwa umefika sasa!jipange uanze upya......!
 
Duu sheria inawekwa pembeni kwenye utendaji wa kazi, matokea makubwa sasa ya wizara ya elimu inatakiwa ianze kwa kuwafagia wabadhirifu katika taasisi za elimu.
 
Maskini Baba wa Taifa jina lake linatumika mahali pasipo na hadhi kwa kuendekeza ubadhirifu.
 
Hiyo nafasi ya senior accountant waliyoitangaza ni kutokana na mwenye hiyo position kuacha kazi kwa mazingira magumu ya kazi au ikoje mzee tujuze!
 
Kama kuna nafasi umeona imetangazwa itendee haki, kama huna mchango kwenye mada husika kaa kimya hatufanyi umbea hapa.
Hiyo nafasi ya senior accountant waliyoitangaza ni kutokana na mwenye hiyo position kuacha kazi kwa mazingira magumu ya kazi au ikoje mzee tujuze!
 
Maana yake ni kuwa anayehamishiwa Zanzibar ni kama adhabu mfano kuna Mfanyakazi alianza kujisomea ktk Chuo kimoja Dar lakini akaamishiwa Zanzibar ili akwame, yaani Chuo kipo kama Taasisi ya Mtu binafsi, ni aibu tupu.
Hujaeleweka vuzuri mkuu, title na contents tofauti kabisa
 
[h=2]Katika Chuo cha Mwalimu Nyerere Dar ea Salaam, Mfanyakazi kuhamishiwa Tawi la la Chuo, Zanzibar hutumiwa kama adhabu?[/h]
Hujaeleweka vuzuri mkuu, title na contents tofauti kabisa
 
Vipi kule mazingira si mazuri ehe, watu wa kule wenye sifa hawapo au ni lazima watoke Bara. Ila kipindi hiki cha mfungo ukikutwe unakula sehemu ktk sehemu ya wazi utaipata freshi.
Katika Chuo cha Mwalimu Nyerere Dar ea Salaam, Mfanyakazi kuhamishiwa Tawi la la Chuo, Zanzibar hutumiwa kama adhabu?
 
Acha uvivu wa kufikiri wewe, hii ni sehemu ya great thingers si sehemu ya umbea, fuatilia vizuri yanayosemwa hapa utagundua ni ukweli mtupu na kama huwezi achakujibu usichojua unajidhalilisha. Neno Tawi la Chuo hiki Zanzibar utagundua ni sehemu ya hanemoni kwa wanapelekwa huko, pesa nyingi zilitumika ilikupata njia ya kuchukua 10% na si kwa ufanisi. Ukienda na elimu yako huko ni kama umeiweka kwanza sandukuni, wahusika wanajua na ndio maana ukitofautiana nao wanakupeleka huko ili wakukomoe maana hata wakitangaza nafasi kwa wanaojua hawaombi nafasi za huko.
Huyu jamaa bado anahaha tu na Chuo cha Mwl Nyerere?kwani walikukosea nini?maana kama kuwasakama umeshawasakama sana!wamesikia na ujumbe utakuwa umefika sasa!jipange uanze upya......!
 
Kama hujafukuzwa, umehamishiwa Zanzibar!

Katika moja ya thread zako umetamka ndugu yako ndiye aliyekupa taarifa! je, wewe ni secretary wake kiasi kwamba zaidi ya threads 15 zinahusu hiki chuo?

JF hakuna wanafiki, tutakuvisha khanga kwani umbea umezidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…