R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
[h=1]CHUO CHA MZUMBE WAANZISHA SHAHADA YA UZAMILI YA AFYA UTAFITI NA UFUATILIAJI WAKISHIRIKIANA NA CHUO CHA CALFONIA[/h]
Mwakilishi wa Chuo cha Franscisco cha Calfonia Marekani Dk Roger Kushoto akiwa na Mshauri wa wanafunzi Chuo kikuuu Mzumbe katika uzinduzi wa shahada ya uzamili uliofanyika chuo kikuu mzumbe.
Mgeni Rami kwenye uzinduzi wa Shahada ya uzamili ya afya utafiti na ufuatiliaji Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa katika uzinduzi huo .
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa katika uzinduzi huo akiwa na mkurugenzi wa maendeleo kutoka wizara ya Afya Ndugu Mashauri aliyeudhuria uzinduzi wa shahada ya uzamili ya Afya utafiti na ufuatiliaji inayotolewa chuo kikuu mZumbe kwa kushirikiana na chuo cha Francisco cha Calfonia cha Nchini Marekani.
Wanafunzi wa shahada ya uzamili afya utafiti na ufuatiliaji wakiwa katika uzinduzi huo.Hapa wakimsikiliza Mgeni rasmi
Mkuu wa Idara ya Shahada za uzamili kutoka chuo kikuu mzumbe Ndugu Amani Paulo akitoa neno fupi wakati wa uzinduzi huo
Makamu wa raisi wa Serikali ya Wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe
Wadau kutoka chuo Kikuu cha Calfonia cha marekani Walioshiriki katika uzinduzi huo
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akitoa neno fupi.