flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
usisahau kuwa baadaye mwanao atafanya kazi kwenye jamii hii hii inayofanana na madangulo. badala ya kuhanagaika sana wapi umpeleke, mfundishe kuishi na kujitegea bila kujali yuko mazingira gani.
huyo mwanao una uhakika atafaulu??..vyuo vyote vyenye maadili ya kiseminary ni vya kata..vyuo vizur ni udsm,ardhi,muhimbili,dit,must,nit na kdg ifm..kama unataka cha seminary TEKU kipo
mlete saut kwa mapadre na masister wa katoliki