A
Anonymous
Guest
Chuo kikuu cha SAUT Mwanza kimeweka hadharani taarifa za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo Taarifa hizo zinajumuisha Majina kamili, namba za simu , emails, tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na namba za mitihani za kidato cha nne
Hayo yote yamechapishwa katika mfumo wa chuo wa SIMS upande wa news na inaonwa na maelfu ya wanafunzi na wanafanyakazi wa chuo hicho hivyo kuhatarisha usalama kwani mtu anapopata taarifa hizo nyeti za mtu mwingine anaweza kuzitumia katika utapeli wa mtandao na uharifu mwingine
Chuo kinatakiwa kutunza taarifa za wanafunzi zilizo kwenye data base kwani hapakuwa na haja ya kutoa taarifa zote hizo, ingefaa kutoa namba ya usajili ya chuo pamoja na majina matatu ingetoasha kabisa.