KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Watu wa central administration wa chuo hicho wamekosa weledi
Chuo kikuu cha SAUT Mwanza kimeweka hadharani taarifa za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo Taarifa hizo zinajumuisha Majina kamili, namba za simu , emails, tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa pamoja na namba za mitihani za kidato cha nne

Hayo yote yamechapishwa katika mfumo wa chuo wa SIMS upande wa news na inaonwa na maelfu ya wanafunzi na wanafanyakazi wa chuo hicho hivyo kuhatarisha usalama kwani mtu anapopata taarifa hizo nyeti za mtu mwingine anaweza kuzitumia katika utapeli wa mtandao na uharifu mwingine

Chuo kinatakiwa kutunza taarifa za wanafunzi zilizo kwenye data base kwani hapakuwa na haja ya kutoa taarifa zote hizo, ingefaa kutoa namba ya usajili ya chuo pamoja na majina matatu ingetoasha kabisa.

View attachment 3227081
 
M 10 ....

M 13 ....

Mr. Badokufa Bado yupo? Father Njiku je?
Sister Tangi je? Mr Njura najua alifariki! ...

Yule Mu Ethiopia nae je, yupo?

Nyamalango kumechangamka? Malimbe Complex ipo? Nadhani hii itakuwa imekufa!

Belta Lodge je 😂? Ndo huu upande wa pili ndo mnapaita kwa Masha eh? Ndo Kuna Kwa Masha hostel, St. Antony, Veronica hostel, 😂!

Yule Kapesa Bado yupo? Eeeh na Yule jamaa anachoma nyama na ugali huku upande wa kwa Masha yupo hai bado? 😂

Good Memories with SAUT MWANZA
Unamzungumzia father Maziku? Yule mkushi anaitwa Negusie financial controller. Kapesa yupo masha, Malimbe complex ipo, jiwe mahaba lipo, na kwa sasa kuna venue M 14 hadi M 15.
 
Unamzungumzia father Maziku? Yule mkushi anaitwa Negusie financial controller. Kapesa yupo masha, Malimbe complex ipo, jiwe mahaba lipo, na kwa sasa kuna venue M 14 hadi M 15.
😂😂 Mkuu asante kwa kunikumbusha Father maziku!

Kuna born fire Moja! Nikipanda jukwaani kuyarudi, akatuka watu kunishusha!

Nikashuka ... Si nikasahau nikapanda Tena! Nikashushwaa! Mara ya tatu nilipopanda 😂

Akaja kunishusha yeye mwenyewe na kuniambia Leo utalala police! Jamaa ana mikwara sana

Tulikuwa na father mmoja anaitwa Njiku mfupi Mpole sana!

M 10 vipi imewekwa viti?

😂 niwe na mahaba ikifika usiku watu wanajua, mpaka wenye mahaba na bangi!

Kapesa kadumu sana ... Good!

Kuna jamaa anachoma nyama na ugali jina lake nimelisahau yupo?
 
Huyo mchoma nyama simfahamu🤣! Huyo father Maziku aliwahi kumzingua Chege pale Odinga. Kwa sasa M10 ina vigoda ila vinahamishika.
 
Back
Top Bottom