KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Watu wa central administration wa chuo hicho wamekosa weledi
 
Unamzungumzia father Maziku? Yule mkushi anaitwa Negusie financial controller. Kapesa yupo masha, Malimbe complex ipo, jiwe mahaba lipo, na kwa sasa kuna venue M 14 hadi M 15.
 
Unamzungumzia father Maziku? Yule mkushi anaitwa Negusie financial controller. Kapesa yupo masha, Malimbe complex ipo, jiwe mahaba lipo, na kwa sasa kuna venue M 14 hadi M 15.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu asante kwa kunikumbusha Father maziku!

Kuna born fire Moja! Nikipanda jukwaani kuyarudi, akatuka watu kunishusha!

Nikashuka ... Si nikasahau nikapanda Tena! Nikashushwaa! Mara ya tatu nilipopanda πŸ˜‚

Akaja kunishusha yeye mwenyewe na kuniambia Leo utalala police! Jamaa ana mikwara sana

Tulikuwa na father mmoja anaitwa Njiku mfupi Mpole sana!

M 10 vipi imewekwa viti?

πŸ˜‚ niwe na mahaba ikifika usiku watu wanajua, mpaka wenye mahaba na bangi!

Kapesa kadumu sana ... Good!

Kuna jamaa anachoma nyama na ugali jina lake nimelisahau yupo?
 
Huyo mchoma nyama simfahamu🀣! Huyo father Maziku aliwahi kumzingua Chege pale Odinga. Kwa sasa M10 ina vigoda ila vinahamishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…