Chuo cha security detailing and private detective!(chuo cha mafunzo ya u-bodyguard)

Chuo cha security detailing and private detective!(chuo cha mafunzo ya u-bodyguard)

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Wasalam.rejea kichwa cha habari cha husika.kwa yeyote anayejua vyuo tajwa hapo juu hapa nchini kwetu tafadhali naomba link,hii ni kufuatia uhaba wa ajira na mitaji,elimu hii inaweza kuongeza soko la ajira kufuatia nchi yetu kuwa na fursa nyingi za kiuchumi(gesi,mafuta,etc)ni wazi kutakuwa na mzunguko mkubwa wa pesa na kupelekea ongezeko la uhalifu.nahitaji mafunzo hayo kwa ajili ya kujiajili kwenye security detailing,kufuatia ukosefu wa ajira na mitaji,mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.nawasilisha!
uwepo wa vyuo vya u-bodyguard .
 
Back
Top Bottom