Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

Kwa kweli sijui! angalia link iko hapo!
Tatizo n hizo MB mkuu. But nilikuwa najoke tu, usichukulie serious coz kinachotuchapa huku kitaa n life tu. SUA, TEKU, UDOM, UDSM, SAUT nk wote tupo kwenye ngoma isiyo na kolasi🤣🤣🤣 ngoma ya mwanamalundi😆😆
 
SUA hakuna lolote,tafiti na citation ila maeneo yapo useless na hakuna kilimo wala ufugaji wa maana;
chuo dhaifu sana kile
Hujui chochote wewe.Rais mwenyewe alipokuja 2017,alishangaa Sana kuona Jamii fupi za mipapai zilizogunduliwa SUA,pia aliona Panya wanaotumika kutegua mabomu na kupima km mtu ana kifua kikuu,halagu wewe Mwajuma Ndala ndefu unasema eti hakuna lolote.
 
Ebu pitia na hapa kiongozi...
 

Attachments

  • Screenshot_20210223-181940.png
    75 KB · Views: 6
  • Screenshot_20210223-182049.png
    75.4 KB · Views: 6
Mbona hizo tafiti hatuzioni kwenye kutatua changamoto za kila siku za wananchi, kwenye statitistics Tz tuko safi ila practically impact Zero, Mwaka unaisha husikie uvumbuzi wowote kutoka katika hivyo vyuo.
budget kiongozi, budget
 
SUA wanajitahidi sana, shida ni kwamba serikali yetu haijaamua kujiweka miguu yote kwenye suala zima la kuunga mkono tafiti kubwa za kisayansi. Wanafanya mambo kisiasa sana na kuna urasimu mkubwa na wa kushanganza kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya kisayansi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona hili pia cc.
Watu wagumu sana aisee🤣
Halafu wabishi..yaani wabongo bwana😂🙌
Mimi sishangai maana T.O tu walimpinga.

Ila tuseme tu ukweli,SUA wapo vizuri sana.
 
UDSM still is the best University in Tanzania
 
Tatizo n hizo MB mkuu. But nilikuwa najoke tu, usichukulie serious coz kinachotuchapa huku kitaa n life tu. SUA, TEKU, UDOM, UDSM, SAUT nk wote tupo kwenye ngoma isiyo na kolasi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoma ya mwanamalundi[emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…